Houseboy anahitika, kazi inaanza June 2018

Boss ni mmama au mbaba!
Ova
Anayehitajika sana ni kijana wa kiume hasa, mwenye nguvu zake, anayetaka kufanya kazi kweli, anaamka 6am, anapiga kazi mpaka 12pm, anakula anapumzika mpaka 2pm, anaendelea na kazi mpaka jioni..
 
Anayehitajika sana ni kijana wa kiume hasa, mwenye nguvu zake, anayetaka kufanya kazi kweli, anaamka 6am, anapiga kazi mpaka 12pm, anakula anapumzika mpaka 2pm, anaendelea na kazi mpaka jioni..
Ok......boss ni mwanamke au mwanaume!mkuu

Ova
 
Kama bosi angekuwa ni mwanamke au la hasha ni mwanaume ila ana mke wake na ana watoto wa kike kuanzia miaka 20 hadi 35 mimi ningekuwa teyari kufanya kazi hata kwa 20,000 tu kwa mwezi
 
Kama bosi angekuwa ni mwanamke au la hasha ni mwanaume ila ana mke wake na ana watoto wa kike kuanzia miaka 20 hadi 35 mimi ningekuwa teyari kufanya kazi hata kwa 20,000 tu kwa mwezi
balaa nipale utakapotumika kuwafungulia watoto wakiwa wametoka mawindo.
 
Kijana wa kazi za ndani, nje, shamba, anahitajika..Dar es Salaam, awe mwaminifu na mchapa kazi, asiwe mtu wa kukaa kwenye vigenge nje ya nyumba wakati wa kazi, anatakiwa awe tayari kufanya kazi za ndani, nje (gardening), shambani na kazi yoyote ile atakayopewa na mwajiri wake, mshahara utaongelewa baada ya kuona anaweza kupiga kazi.

Anayejuwa wanaotafuta kazi please tuwasiliane, kwa PM..

Asante sana
Nipo apa Namba yangu 0672493550
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom