secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Pia awe kama Mbowe pale chadomo.Kama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Pesa zipi na kiasi gani?Hao ni wezi wa kutupwa kama wangekuwa wanafuata rule of law wasingekubali kuhifadhi pesa za wizi kutoka third world countries. Hakuna watu makatili kama wazungu wanajishaua tu.
Kaongea ukweliI Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!
Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
Hii democrasia haiwezekan kabisa kwa nchi za kiafrika hususan tz may b baada ya miakA 100 ijayo...Marekani raha sana nchi ina uhuru mpaka Rais anakashifiwa, anatukanwa, anataka kuvuliwa madaraka lakini yupo busy kujenga uchumi wa nchi na kutengeneza ajira wala hana habari na wakosoaji.
Au Lyatonga na Spunta
Fikiria upya ulicho kisemaKama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Mkuu nadhani hujaelewa kinachoongelewa hapo.Horse shit!
Kuwaambia watu wasile rushwa na kutumia madaraka vibaya ni sawa na kuwaambia wasifanye ngono.
Na hii ni dunia nzima. Haitakaa iondoke. Hii sio a political matter. Ni Human Nature.
Otherwise, tuvute shuka, n' lets keep dreaming.
Sent using LF Electromagnetic Waves
Inaudhi, lakini nilishajiapiza kutojibu hoja mfu kama hizi.Kama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Pascal, jiulize maswali haya yafuatayo.Kama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Dharau au ukweli?I Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!
Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
I Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!
Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
Na DEMOKRASIA ni Watu. Ukiwa na sampuli za watu kama Msukuma, Mlinga, Lusinde & Co. advocates kwenye taifa lako pia ni DEMOKRASIA.Rule of law and democracy ni vitu viwili tofauti...
unaweza ukatawala/ukaongoza nchi kwa kufata sheria kandamizi zilizopo/hiyo ni rule of law pia
Mungu wabariki WazunguI Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!
Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
Kwanini asiwe Sultan kabisa ili akitoka aingie mwanae ambaye atakuwa na damu ile ile ya hapa kaziKama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P