Nilitaka kusubiri ila daah kiroho kikawa hakitulii ukizingatia nilikua nishadownload ep 1.... Ila kusubiri ikamilike ni vema zaidiSeason Ikikamilika ndo ntaangaliaa kazi ya kusubiri episode moja mojaa siweziii
Noma SanaNimeianza leo.... Ni motrooooooooooo
Me mwenyewe nilitaka kusubiria iishe ndo niitazame Ila nimeshindwaNilitaka kusubiri ila daah kiroho kikawa hakitulii ukizingatia nilikua nishadownload ep 1.... Ila kusubiri ikamilike ni vema zaidi
ntaenda nayo hivyohivyo mdogo mdogo mpk kielewekeoyaa mnazingua sanaa daah ngoja nidownload tu maana daah...mautamuu hayaNoma Sana
daah anyway ngoja niruke nayooo tuuuMe mwenyewe nilitaka kusubiria iishe ndo niitazame Ila nimeshindwantaenda nayo hivyohivyo mdogo mdogo mpk kieleweke
Hahahaha ruka nayo brodaah anyway ngoja niruke nayooo tuuu
Inamana ni mwendelezo wa game of thrones?Jus Finished watching Episode 1
My Rate ni 9/10.
Bloodier, crazier, violent,brutal, cinematography is top notch,very well written.
#Nospoiler
Hii series itaipiku GOT.
Mimi hivyo hivyo,paka iishe ndo nitulie nile burudani.Daah..kuangalia vipande na kusubiri kingine huwa siwezi nasubiri mpaka mzigo wa season1 uishe wote ndio niukalie vizri kucheki.
#MaendeleoHayanaChama
Nilitaka kusubiri ila daah kiroho kikawa hakitulii ukizingatia nilikua nishadownload ep 1.... Ila kusubiri ikamilike ni vema zaidi


ukishakuws nayo,huwezi tena kusubiri...hapa me sina ila mnanitamanisha balaa.😀 😀 😀ukiweza kusubirii niite mbwaaaMimi hivyo hivyo,paka iishe ndo nitulie nile burudani.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
😀 😀 😀ukiweza kusubirii niite mbwaaa


tena inavyosifiwa hivi ,ni ngumu sanayani hapa nishakuwa mtumwa sasa wa kusubiriiii
Nakumbuka game of thrones ilinitesa sana nilikuwa siikosiyani hapa nishakuwa mtumwa sasa wa kusubiriiii
Sidhani kama itakosa hizo mamboKusiwe na contents za homosexuals maana season hizi za mamtoni zinataka kunishida aseee minyanduano ya kwenye tope imezidi.
kama ni hivo inipitie mbali siwezi kuipenda maana watoto nilionao kila nachotizama na wenyewe wanataka kuangalia. Napenda films za mambele ila mambo ya homosexuals yananikera sana kwa kweli.
Hapana! Ni prequal.