Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,621
- 3,086
nonsense 🐒Heche ametueleza kuwa kipindi cha utumwa huko America kulikuwa na two categories of slaves moja House negro na field negro na ameeleza kuwa house nogro walikuwa wala makombo ya mabossi wao kisa kuosha mavi ya watoto wao na kufua chupi wakati field negro walikuwa watu wa mashambani na ameemdelea kueleza kuwa machawa ya ccm ni sawa na house negro kwasababu ya kupewa makombo ya baiskeli za samia, pikipiki na tshirts huku wao wakijenga Dubai na masaki, sasa wakuu naomba kuuliza je machawa ya ccm ni mahouse negro kweli? naomba majibu.
exactly!Heche ametueleza kuwa kipindi cha utumwa huko America kulikuwa na two categories of slaves moja House negro na field negro na ameeleza kuwa house nogro walikuwa wala makombo ya mabossi wao kisa kuosha mavi ya watoto wao na kufua chupi wakati field negro walikuwa watu wa mashambani na ameemdelea kueleza kuwa machawa ya ccm ni sawa na house negro kwasababu ya kupewa makombo ya baiskeli za samia, pikipiki na tshirts huku wao wakijenga Dubai na masaki, sasa wakuu naomba kuuliza je machawa ya ccm ni mahouse negro kweli? naomba majibu.
Katika Jukwaa hili House Negros utaweza kuwatambua kirahisi tu...Mkuu, hoja uliyoileta ina uzito mkubwa wa kitaaluma na namuunga mkono John Heche kwa 100%. Tunapaswa kuelewa kuwa mlinganisho huu hauleti tusi la kibayolojia, bali unatumia mielekeo ya kisaikolojia na kitabaka (socio-political and class paradigm) iliyoanzishwa na Malcolm X katika hotuba yake ya kihistoria ya mwaka 1963.
Tukiichambua dhana hii kiweledi katika muktadha wa sasa wa Tanzania, tunapata picha kamili ya makundi haya mawili:
1. Machawa kama Zao la 'House Negro' (Mtumwa wa Ndani)
Kama alivyoeleza Malcolm X, House Negro alikuwa ni mtumwa anayelindwa ndani ya nyumba, akila makombo ya bwana wake na kuvaa nguo zake zilizochoka. Kisaikolojia, anajiona bora kuliko watumwa wenzake na yuko tayari kulinda nyumba ya mtawala isiteketee.
2. Wapigania Haki na Katiba Mpya kama 'Field Negro' (Mtumwa wa Shambani)
- Ushabiki katika Siasa: Hawa ndio "machawa" wetu wa leo. Wakati viongozi na matabaka tawala wakijenga miradi mikubwa Masaki na kuwekeza Dubai, machawa wanatosheka na fadhila ndogo za mpito (tokenism)—kama vile fulana (T-shirts), pikipiki, baiskeli, na posho za vikao.
- Ulinzi wa Mfumo: Wanatetea kila uamuzi dhalimu wa kiuchumi au kisiasa kwa sababu tu ya kulinda makombo ya mezani, huku wakisahau kuwa wao na jamii zao bado ni wahanga wa mfumo uleule.
Kwa upande mwingine, Malcolm X alieleza kuwa Field Negroes walikuwa ndio umma mkubwa uliopo mashambani chini ya jua kali, wakila chakula duni na kukatwa mijeledi. Hawakuwa na maslahi na mtawala; walitaka mfumo ule usambaratike ili wapate uhuru wa kweli.
Hitimisho: Mlinganisho wa Heche ni darasa tosha la kisiasa. Unatubainishia wazi kuwa nchi yetu imegawanyika kati ya wale wanaolamba makombo kulinda maslahi ya tabaka tawala (House Negroes) na wale wanaoteseka kwenye mstari wa mbele wakidai Katiba na mfumo mpya wa haki kwa ajili ya mustakabali wa vizazi vijavyo (Field Negroes). Ni ukweli mchungu unaopaswa kusemwa bila kumung'unya maneno.
- Utaabikaji katika Mapambano: Katika muktadha wetu, hawa ni wananchi wa kawaida na wanaharakati wanaopigania haki za msingi, demokrasia, na Katiba Mpya.
- Gharama ya Mageuzi: Kama walivyokuwa watumwa wa mashambani, kundi hili linapitia dhiki kubwa—kukamatwa, kunyimwa haki zao, na kububujikwa na machozi juani wakidai mfumo wa haki na usawa. Hawahongiwi kwa fulana wala pikipiki kwa sababu lengo lao sio kupata "makombo," bali ni kupata "uhuru kamili wa kimfumo na kipeo."
nonsense 🐒Katika Jukwaa hili House Negros utaweza kuwatambua kirahisi tu...
Hawa ni robots kama Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Dr wa Manesi, Mtoto wa Shule, narogo and many of such kind..
Hawa jamaa ni mabingwa wa kula matako na makombo ya mezani ya bwana zao huko CCM..
Huo ndio mshahara wao. Huwaambii kitu hawa jamaa. Ni wakuda mpaka balaa.
Hawa ndio waliopewa bunduki mwaka jana 29/10/2025 na siku zilizofuata, wakasambaa mitaani na kuwawinda ndugu zao kama wawindaji waindao swala porini na Kisha kuwachinja kama kuku...
Yote ni kulinda bwana zao na kulinda makombo yao yasitoweke...!!
Uko vizr.Katika Jukwaa hili House Negros utaweza kuwatambua kirahisi tu...
Hawa ni robots kama Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Dr wa Manesi, Mtoto wa Shule, narogo and many of such kind..
Hawa jamaa ni mabingwa wa kula matako na makombo ya mezani ya bwana zao huko CCM..
Huo ndio mshahara wao. Huwaambii kitu hawa jamaa. Ni wakuda mpaka balaa.
Hawa ndio waliopewa bunduki mwaka jana 29/10/2025 na siku zilizofuata, wakasambaa mitaani na kuwawinda ndugu zao kama wawindaji waindao swala porini na Kisha kuwachinja kama kuku...
Yote ni kulinda bwana zao na kulinda makombo yao yasitoweke...!!
Kufikiri kwa akili zao kunaishia matakoni na matumboni mwao..
Wao wanadhani huo ndio uhuru wao, ndio maisha yao kumbe ni watumwa wajinga wasiojitambua!!
House Negrononsense 🐒
Mahouse negroes utayajua kupitia commentsUko vizr.
Unapuyanga tu mwenyewe kwa kuwa wajua fika una mazombi yako humu yanayoamini kila usemalo kumbe masikini huna ujualo...
Hamstahili ht kupewa pole.Mahouse negroes utayajua kupitia comments
Naunga mkono hojaHeche ametueleza kuwa kipindi cha utumwa huko America kulikuwa na two categories of slaves moja House negro na field negro na ameeleza kuwa house nogro walikuwa wala makombo ya mabossi wao kisa kuosha mavi ya watoto wao na kufua chupi wakati field negro walikuwa watu wa mashambani na ameemdelea kueleza kuwa machawa ya ccm ni sawa na house negro kwasababu ya kupewa makombo ya baiskeli za samia, pikipiki na tshirts huku wao wakijenga Dubai na masaki, sasa wakuu naomba kuuliza je machawa ya ccm ni mahouse negro kweli? naomba majibu.
Wewe ni typical house negro. Hiyo haina ubishi. Una sifa zotenonsense 🐒
Wewe ni house negro tu. Endelea kula makombo ya bwana wako na kujifananisha uko swa na bwana wakoUko vizr.
Unapuyanga tu mwenyewe kwa kuwa wajua fika una mazombi yako humu yanayoamini kila usemalo kumbe masikini huna ujualo...
Wewe huwezi kujibu kwa akili yako kila mada mpaka utumie mnemba?Mkuu, hoja uliyoileta ina uzito mkubwa wa kitaaluma na namuunga mkono John Heche kwa 100%. Tunapaswa kuelewa kuwa mlinganisho huu hauleti tusi la kibayolojia, bali unatumia mielekeo ya kisaikolojia na kitabaka (socio-political and class paradigm) iliyoanzishwa na Malcolm X katika hotuba yake ya kihistoria ya mwaka 1963.
Tukiichambua dhana hii kiweledi katika muktadha wa sasa wa Tanzania, tunapata picha kamili ya makundi haya mawili:
1. Machawa kama Zao la 'House Negro' (Mtumwa wa Ndani)
Kama alivyoeleza Malcolm X, House Negro alikuwa ni mtumwa anayelindwa ndani ya nyumba, akila makombo ya bwana wake na kuvaa nguo zake zilizochoka. Kisaikolojia, anajiona bora kuliko watumwa wenzake na yuko tayari kulinda nyumba ya mtawala isiteketee.
2. Wapigania Haki na Katiba Mpya kama 'Field Negro' (Mtumwa wa Shambani)
- Ushabiki katika Siasa: Hawa ndio "machawa" wetu wa leo. Wakati viongozi na matabaka tawala wakijenga miradi mikubwa Masaki na kuwekeza Dubai, machawa wanatosheka na fadhila ndogo za mpito (tokenism)—kama vile fulana (T-shirts), pikipiki, baiskeli, na posho za vikao.
- Ulinzi wa Mfumo: Wanatetea kila uamuzi dhalimu wa kiuchumi au kisiasa kwa sababu tu ya kulinda makombo ya mezani, huku wakisahau kuwa wao na jamii zao bado ni wahanga wa mfumo uleule.
Kwa upande mwingine, Malcolm X alieleza kuwa Field Negroes walikuwa ndio umma mkubwa uliopo mashambani chini ya jua kali, wakila chakula duni na kukatwa mijeledi. Hawakuwa na maslahi na mtawala; walitaka mfumo ule usambaratike ili wapate uhuru wa kweli.
Hitimisho: Mlinganisho wa Heche ni darasa tosha la kisiasa. Unatubainishia wazi kuwa nchi yetu imegawanyika kati ya wale wanaolamba makombo kulinda maslahi ya tabaka tawala (House Negroes) na wale wanaoteseka kwenye mstari wa mbele wakidai Katiba na mfumo mpya wa haki kwa ajili ya mustakabali wa vizazi vijavyo (Field Negroes). Ni ukweli mchungu unaopaswa kusemwa bila kumung'unya maneno.
- Utaabikaji katika Mapambano: Katika muktadha wetu, hawa ni wananchi wa kawaida na wanaharakati wanaopigania haki za msingi, demokrasia, na Katiba Mpya.
- Gharama ya Mageuzi: Kama walivyokuwa watumwa wa mashambani, kundi hili linapitia dhiki kubwa—kukamatwa, kunyimwa haki zao, na kububujikwa na machozi juani wakidai mfumo wa haki na usawa. Hawahongiwi kwa fulana wala pikipiki kwa sababu lengo lao sio kupata "makombo," bali ni kupata "uhuru kamili wa kimfumo na kipeo."
nonsense 🐒
Kabisa...Wewe ni house negro tu. Endelea kula makombo ya bwana wako na kujifananisha uko swa na bwana wako
Heche ana akili sana, wale wengine hata kusoma vitabu au historia ya mapambano duniani hawana muda kweli ni ma house negro, wakipata vijisenti vya kuwa na mbuzi 200 au kulima nyanya basiiiMkuu, hoja uliyoileta ina uzito mkubwa wa kitaaluma na namuunga mkono John Heche kwa 100%. Tunapaswa kuelewa kuwa mlinganisho huu hauleti tusi la kibayolojia, bali unatumia mielekeo ya kisaikolojia na kitabaka (socio-political and class paradigm) iliyoanzishwa na Malcolm X katika hotuba yake ya kihistoria ya mwaka 1963.
Tukiichambua dhana hii kiweledi katika muktadha wa sasa wa Tanzania, tunapata picha kamili ya makundi haya mawili:
1. Machawa kama Zao la 'House Negro' (Mtumwa wa Ndani)
Kama alivyoeleza Malcolm X, House Negro alikuwa ni mtumwa anayelindwa ndani ya nyumba, akila makombo ya bwana wake na kuvaa nguo zake zilizochoka. Kisaikolojia, anajiona bora kuliko watumwa wenzake na yuko tayari kulinda nyumba ya mtawala isiteketee.
2. Wapigania Haki na Katiba Mpya kama 'Field Negro' (Mtumwa wa Shambani)
- Ushabiki katika Siasa: Hawa ndio "machawa" wetu wa leo. Wakati viongozi na matabaka tawala wakijenga miradi mikubwa Masaki na kuwekeza Dubai, machawa wanatosheka na fadhila ndogo za mpito (tokenism)—kama vile fulana (T-shirts), pikipiki, baiskeli, na posho za vikao.
- Ulinzi wa Mfumo: Wanatetea kila uamuzi dhalimu wa kiuchumi au kisiasa kwa sababu tu ya kulinda makombo ya mezani, huku wakisahau kuwa wao na jamii zao bado ni wahanga wa mfumo uleule.
Kwa upande mwingine, Malcolm X alieleza kuwa Field Negroes walikuwa ndio umma mkubwa uliopo mashambani chini ya jua kali, wakila chakula duni na kukatwa mijeledi. Hawakuwa na maslahi na mtawala; walitaka mfumo ule usambaratike ili wapate uhuru wa kweli.
Hitimisho: Mlinganisho wa Heche ni darasa tosha la kisiasa. Unatubainishia wazi kuwa nchi yetu imegawanyika kati ya wale wanaolamba makombo kulinda maslahi ya tabaka tawala (House Negroes) na wale wanaoteseka kwenye mstari wa mbele wakidai Katiba na mfumo mpya wa haki kwa ajili ya mustakabali wa vizazi vijavyo (Field Negroes). Ni ukweli mchungu unaopaswa kusemwa bila kumung'unya maneno.
- Utaabikaji katika Mapambano: Katika muktadha wetu, hawa ni wananchi wa kawaida na wanaharakati wanaopigania haki za msingi, demokrasia, na Katiba Mpya.
- Gharama ya Mageuzi: Kama walivyokuwa watumwa wa mashambani, kundi hili linapitia dhiki kubwa—kukamatwa, kunyimwa haki zao, na kububujikwa na machozi juani wakidai mfumo wa haki na usawa. Hawahongiwi kwa fulana wala pikipiki kwa sababu lengo lao sio kupata "makombo," bali ni kupata "uhuru kamili wa kimfumo na kipeo."
Na wewe mwenye akili endelea tu kupambana ktk hizo harakati za PimbiWewe ni house negro tu. Endelea kula makombo ya bwana wako na kujifananisha uko swa na bwana wako