Hii ajira kiboko,
Yaani unatafuta mfanyakazi wa ndani na nje ya nyumba.
Mbona utata tangazo lako.
Siku hizi watu wanatafuta wafanyakazi watu wazima.
Sasa kuna DADA yake BI KIDUDE,sema nikuunganishie,Yeye mshahara wake ni Ndoo ya Ugoro tu kwa mwezi.
Napia huwa hapendi kukatiwa stim wakati wa kupiga ugoro wake.