House girl na akina baba part 2

House girl na akina baba part 2

illuh

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,254
Reaction score
700
Nimeona nikiweka kma comment haitasomeka vizuri kwani comments ni nyingi sana tayari..

Napenda kujibu suala la dada aliyelalamikia hg na wababa na kuponda kuwa Ma hg hawajui kufua PICHU , wachafu nk....

NI KWAMBA HATA TUKIWA TUNAHELA NAMNA GANI, WAREMBO VIPIII TUSIKASHIFU WENZETU, ALIYE JUU MNGOJEE CHINI, NA ALIYE CHINI MNGOJEE JUU...Mungu humbadilisha amtakaye pasipo kutegemea....

Jamani wadada..Japo mimi ni mwanamke na nina mume na nina housegirl...Mwanaume kutembea na housegirl si dhambi...dhambi ni pale kuwa na mchepuko kwani anaweza kurudi na tope akaleta majanga ndani ya familia mkaanza kuishi kwa matumaini...Wanaume wengi wanajisahau wanafikiri mahouse girl hawana gonjwa...Kumbuka kuwa tena wao ndio wenyewe kwani wanapita kwa mabosi wengi wenye tabia za kinyama, bado hao vijana wa mtaa wakiona umeleta housegirl mpya kinakuwa ndio chakula chao...

Hilo suala la kusema housegirl hajui kufua PICHU mimi nakana kwani hata hao mabosi wapo kuna ambao hawajui kufua pichu zao hao mahouse girl ndio wanawasaidia kufua....Wapo Ma HG wasafi tuu, warembo tuu ...ni kuwa hawajakuwa na uwezo kama sie mabosi tulionao...Laiti wangepata hela za kuweza kununua PICHU kila kukicha kama sisi wangenunua nao na wangependeza tuu....Mfano mmoja ni JOYCE KIRIA alikuwa hg..je unamuonaje JOYCE ?? Vuta picha hapo nyuma yule aliyekuwa akimdharau kisa ni HG leo hii anaumbuka vipi??

Wakuwalaumu ni wanaume wanaopenda kuchepuka...na wasio ona aibu kutembea na mfanyakazi wake hali yakuwa wewe mkewe ni bosi wake kwani hii hupelekea mfanyakazi akakudharau kwani ashamjua baba hadi ndani..Unachokula na kustarehe wewe mama ashakijua naye anastarehe hicho hicho...Kama ni kiss nae analipata...Kwa hakika hapa wanaume wabadilike...Bora japo si sawa wachepuke nje ya nyumba ila sio hapo nyumbani kwani mfanyakazi (hg) huyo ni sawa na mwanae...Amheshimu, ampende kama mtoto, amjali...

Utakuta wamama wengine wanafakia hata kuwatenga hgrls wasile mezani, wasipendeze kuweka dawa ya nywele, wasivae nguo nzuri eti kisa baba atampenda...Jua hiyo ni tabia ya mumeo...Km amefikia kumchukua hg yaani km mwanae wa ndani...... jua huko nje ndio atakuwa mbwa koko....

Wanaome tunaomba muheshimu NDUGU wa mke msitembee nao, Muheshimu housegirls ni kama watoto wenu, Muheshimu yeyote aliyekuzunguka ktk familia au nyumba...Kama unataka kuchukua chukua nje mbaliii ambaye hausiki na familia yako...Ni laaana Muogopeni Mungu...
 
Mi nadhani usafi na huko kutembea na waume zenu ni vitu viwili tofauti. Kiasi kwamba unafikia kuuliza
a) Umekasirika kwa sababu mtu asiyejua kufua pichu katembea na mmeo?
b) Would it be better if she was up to your standards of self hygiene? (Nawaza tu kwamba kama nguo zote yeye ndo anafua, how can her underwear be any less clean?)
 
Wanaume hawana hofu kabisa kutembea na hg ambaye yupo hapo hapo home ni dharau ya hali ya juu. Hata kama mchepuko fanyia mbali mimi ni sijue jamn
 
Jamani km kuna mtu anaijua Movie - Series ya DEVIOUS MAIDS ni nzuri sana inaendana sana na hili jambo la wababa kutembea na hgs zao nk...Km waweza downloads itafuteni ktk mtandao Ipo 1 to 5 i think km sijasahau
 
ilani kweli alafu wanaona mambo hayaendi ndani ya nyumba hawajui kama wao ndio source ya hayo yote...... tembeza dudu yako nje huko ukija ndani tulia basi loh
 
wadada mgekuwa hampigi mizinga tusingechukuwa hg....sasa michepuko gharama na kuonja radha tofauti twataka basi bora tukamatie hapa karibu bei che
 
Mume kutembea na housegirl wa hapo ndani ni dharau ya hali ya juu kwa mkewe na familia.
Binafsi huwa nawachukulia kama sehemu ya familia na nategemea mwenzangu awaone kwa Jicho Hilo Hilo!
 
A big like for you, mim akiendela kushinda saloon kutwa anasuka rasta na kupaka rangi za kucha aki namuoa yule hausi gelo
Mtoto mzuri na ana nidhamu mshallah, amefunzwa jinsi ya kutandika kitanda
 
Amini nawaambieni kama mwanamke anamheshimu na kumpenda hg. Mme wake pia atampenda hg na hiyo inakuja automatically. Kwanza nikishaona ukaribu wa hg na mke wangu nitakuwa na hofu hata ya kumtongoza bse najua naweza nikaripuliwa kutokana na ukaribu uliopo baona yao.

Sasa wewe mama unakuwa adui wa hg wako najua hata nikimtongoza hatakwambia maana si kunakauadui tayari? Mtaanzia wapi kuongea?

Hata hivyo hg anaweza akawa anatembea na baba mwenye nyumba ili kumkomoa mama mwenye nyumba kutokana na matendo anayofanyiwa. Au tu ili avute attention ya mwanaume ili kupunguza adha ya mateso anayopata. Anaona ni bora mmoja kati yenu awe upande wake na ndiyo maana wanaamuaga kuwatega mabwana wenu.

Wanawake inabidi kwakweli swala la kuishi na ma hgs mliangalie mara mbilimbili vinginevyo mtaendelea kulia na kusingizia eti wanaume wanatabia mbaya kumbe tatizo mnalo wenyewe.
 
Actuariii umesema yote kwa usahihi.... unidai senene gunia moja sawaaa!!!...
 
Hii ni silaha nzuri sana ndani ya ndoa
 
kutembea na hg nikutembea nje kama sehemu nyingine futa usemi wako hapo juu.kuzin ni dhambi haijalishi umefanya nanani
 
Duuuh! Kuna jirani ameleta Hg choooombo kweli,sasa mleta mada mbona unaanza kupiga mizengwe.Katoto bomba kabisa yaani Mungu fundi wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom