House girl(msicha wa kazi) anatafuta kazi

mundu mkongw

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
203
87
Msichana wa kazi anatafuta kazi za ndani anaishi gongolamboto, kazi ya kuja na kuondoka mshahra 50000.

Ni mwaminifu aliwahi kuwa jirani yetu wakati akifanya kazi namjua vizuri anaweza kulea watoto

Anayemuhitaji ani pm

Asante
 
Tatizo la hao wa kuja na kuondoka kwa waafrika ni shida. Anaweza kuamka asubuhi akajisikia uvivu au akapigiwa simu na jamaa yake kisha haji kwako anapiga simu kusingizia anaumwa sasa inabidi wewe uamini tu kwa vile haumuoni alivyo kwa muda huo. Inakusababisha ukose kwenda kazi ubaki na watoto mara kwa mara. Bora aje muishi nyumba moja tu.
 
Hii style ya kutafutiana hapa kishikaji unaweza kuletewa mtu msuka ramani na wezi au majambazi. Siku wakikufanyia umafia house girl kakimbia hujui utampateje na jamaa mdhamini wake wa humu anabadili ID na SIM card anasajili na kitambulisho bandia tu kwisha kazi imekula kwako. Ukienda huko anakoishi unaambiwa hapa kashahama zamani.
Ushauri: Fanyeni taratibu nzuri za uhakika za wadhamini wake
Mpeni kazi mdada wa watu ajira hakuna hali ngumu.
 
kivipi mkuu

Fafanua.

umakini upi?

wasichana wakizi nawenyewe wanatafuta kazi za kujingizia kipato kama sisi tunavyozunguka na bahasha
sasa tusiwanyanyapae wakati tuliowengi tumelelewa na wadada wakazi

wengi meonyesha hofu yakuibiwa kwa ambao waneshawahi kuishi na wasichana wakazi hili sio tatizo kabla yakumuajili nilazima ujiridhishe kwakuwasiliana na mzamini anaweza kuwa baba mzazi au ndugu wakalibu
 
Hii style ya kutafutiana hapa kishikaji unaweza kuletewa mtu msuka ramani na wezi au majambazi. Siku wakikufanyia umafia house girl kakimbia hujui utampateje na jamaa mdhamini wake wa humu anabadili ID na SIM card anasajili na kitambulisho bandia tu kwisha kazi imekula kwako. Ukienda huko anakoishi unaambiwa hapa kashahama zamani.
Ushauri: Fanyeni taratibu nzuri za uhakika za wadhamini wake
Mpeni kazi mdada wa watu ajira hakuna hali ngumu.
mkuu kabla yakumuajili nilazima ujiridhishe kuenda anapoishi na kuwasiliana na ndugu zake nimuhimu
 
Tatizo la hao wa kuja na kuondoka kwa waafrika ni shida. Anaweza kuamka asubuhi akajisikia uvivu au akapigiwa simu na jamaa yake kisha haji kwako anapiga simu kusingizia anaumwa sasa inabidi wewe uamini tu kwa vile haumuoni alivyo kwa muda huo. Inakusababisha ukose kwenda kazi ubaki na watoto mara kwa mara. Bora aje muishi nyumba moja tu.
yah ni kweli. Lakini pia wengine wanakuwa na tabia ya udokozi wa kuondoka na robo kilo ya sukari, mchele nk utajikuta unatunza familia zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom