House girl ananitesa

*******************

Mhhh pole kaka...Ila dah huyo hg atazidi kukuweka ktk njia panda...Angalia kuwa makini..hata km ni kuendelea tumia condom..

Pili km unampenda mkeo mfukuze tuu huyo hg ili uepukane na hilo janga...Mwambie aondoke mkeo akija asimkute basi..

Wapo wanawake wa aina hiyo...Ukiwaambia kuhusu tatizo hawaamini hadi last minute too late ndio anaanza kujutia...Mkeo ashazoea kukuona mwaminifu naona haamini km kitu cha aina hiyo kinaweza tokea na pengine Hg anajifanya sana malaika mbele ya mama ndio maana...

Daahh au mwambie tuu mkeo kuwa hg anakufanyia visa sana unaporudi kula ...na pia wewe usiweunarudi mchana tena chelewa kurudi nyumbani pia jioni.....Kuwa muwazi kma unataka kujenga ndoa yako ila usimwambie mkeo kuwa ulishawahi jamiiana na hg...JENGA NDOA YAKO BABA Mungu nae atalinda...
 
Sitaki hg...acha tuu nife na kazi zangu bora niweke house boy
 
Upumbavu wa mwenye hekima ni hekima kwa --------. upumbavu kwa -------- ni jambo la kifahari na hujivuna kusimulia. Ndoa inaharibika na nafsi inaangamia -------- anahadithia kama ni jambo la maana. Kwel akili n nywele hata vichaa wanazo
 
wasichana wa kazi wa sasa ni wahovyo .
Pia huyo dada kakuona hujielewi kama ungekuwa unajiheshimu angepata wapi ujasiri wa kukufungua zipu hebu mheshimu mkeo hata kama mkeo anaonekana ni easy taker wewe ndo uwe baba unaeeleweka.
 
Msichana wa kazi ataleta mazoea ya kipuuzi kwa baba mwenye nyumba endapo baba huyo hajielewi
.Mwanaume akisha jua nafasi yake katika nyumba kila kitu kitakaa kwenye mstari
siwapendi wanaume ambao hawajielewi sasa wewe unataka ushauri wa nini hapa
 
wasichana wa kazi wa sasa ni wahovyo .
Pia huyo dada kakuona hujielewi kama ungekuwa unajiheshimu angepata wapi ujasiri wa kukufungua zipu hebu mheshimu mkeo hata kama mkeo anaonekana ni easy taker wewe ndo uwe baba unaeeleweka.

Sitaki nataka. Mkeo nae zoba kweli.

Mke siyo zoba bana ni imani aliyonayo kwa mumewe na pengine huyo binti naye ni msanii kwa mama mwenye nyumba kiasi hajaweza kustuka. Mume ajitambue. Period!
 
na ulipomwambia kwamba umemla 0713 akasemaje!!
 
Dah nilikuwa sijaelewa 0713 now ndio nimevumbuliwa Duuhhhh wewe mwanaume ni mpuuzi kweli...na wewe ukakaa ukimsubiria aiweke ??Balaaaaa
 
Unajua kila jambo lina mwanzo na mwisho lakini kuna watu wanatafuta mwisho kwa lazima, endelea tuu kuishi bila msimamo utajutia kwa yale uyafanyayo kwa gharama kubwa na kwa damu kutoka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…