House girl ana mimba yangu

House girl ana mimba yangu

Marco shija

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
64
Reaction score
36
Nimemaliza form six may mwaka huu nikarudi home, nyumbani tupo 5 tu yaani baba, mama, wadogo zangu wawili na msichana wa kazi ambao asubuhi wakiamka wanaenda shule na wazazi kazini, wanapoondoka kazini ninabakia na msichana wa kazi.

Mwanzo nilichukulia kawaida kukaa nae ila baadae nikabadili utaratibu, wazazi wakiondoka naenda chumbani kwa dada (house girl) tunafanya yetu mpaka saa 2 anaendelea na kazi zake, Jana matokeo yametoka nimefaulu, leo kasikia baba yangu ananipongeza kwa kufaulu, kaingia chumbani kwake kanitumia msg ananiambia ana mimba yangu.

Nifanyeje?
 
Mbona ulivyoanza kubadili utaratibu na kuwa unaenda chumbani kwake mnafanya yenu haukutushirikisha mkuu? Huoni kama ndio tungekushauri vizuri.

Sasa unapoamua kutushirikisha mabaya tu unatuonea mkuu, ungetushirikisha na mazuri (at least kwako) ulipokuwa unayaanza. Kwa sasa hakuna ushauri ni kufuata utaratibu kuhalalisha ndoa. Labda kama unaomba ushauri namna ya kupeleka barua kwao
 
Nimemaliza form six may mwaka huu nikarudi home, nyumban tupo 5 tu yaani baba, mama, wadogo zangu wawili na msichana wa kazi ambao asbh wakiamuka wanaenda shule na wazazi kazin, wanapoondoka kazin ninabakia na msichana wa kazi, mwanzo nilichukulia kawaida kukaa nae ila baadae nikabadili utaratb, wazazi wakiondoka naenda chumbani kwa dada( house girl) tunafanya yetu mpaka saa 2 anaendelea na kazi zake, Jana matokeo yametoka nimefaulu, leo kasikia baba yangu ananipongeza kwa kufaulu, kaingia chumbani kwake kanitumia msg ananiambia ana mimba yangu!!! Nifanyeje?
Sasa unashangaa nini ulitaka hio mimba ubebe wewe?
 
Pambana na hali yako mkuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hili Neno Linalotumika Awamu Hii Ya Baba Jesca Gumu Sana
""Pambana Na Hali Yako ""
 
Ana umri gani? Kama ni chini ya miaka 18 mvua 30 zinakuhusu maana ulimbaka. Waeleze wazazi wako.wakusaidie kulea mimba mfunge ndoa kisailenza. Nenda chuo ujue ulimaliza mzigo wako unakungoja. Biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti. Sasa umesababisha mauti ya ndoto zako kwa dhambi yako ya uasherati

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom