House fot SALE-Mwanza.

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,809
0
Ndugu wanajamvi,

Salaam!

Hii ni nyumba iliyopo Pasiansi Chini, barabara kuelekea kiwanda cha bia TBL jijini Mwanza.

Inavyoonekana pichani ni nyumba ya uwani, ambapo iliachwa nafasi mbele kwa ujenzi wa nyumba ya mbele, eneo la mbele latosha kujenga nyumba kubwa na kuweka fensi.

Nyumba imepimwa na inayo HATI, umeme upo pamoja na maji.

Nyumba ipo barabarani kuelekea kiwanda cha ulabu TBL-Mwanza, gari inafika bila tatizo.

Inamilikiwa kihalali na hakuna chembe za migogoro, eneo limepimwa vema kwa makazi, ni jirani pia na Bwiru.

Bei ni maelewano, mara baada ya kuiona na kuliona eneo lilivyo na kujiridhisha.

Nawakaribisha wote kwa biashara hii, kwa walio na fursa tuwasiliane kwa PM hapa au kupitia simu ya kiganjani 0759988889.
 

Attachments

 • IMG_20131203_114326.jpg
  File size
  1.6 MB
  Views
  104
 • IMG_20131203_114514.jpg
  File size
  1.3 MB
  Views
  92
 • IMG_20131203_114545.jpg
  File size
  1.4 MB
  Views
  77
 • IMG_20131203_114303.jpg
  File size
  1.3 MB
  Views
  80

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom