amesema unaweza kujenga any engineering structure (design and construction) bila feasibility study, sembuse kusema tu mdomoni!...Habari!
Binafsi kuna vitu nisivyovipenda katika hotuba za Magufuli:
1. Kutoa lugha za kejeli Kwa watendaji/ wananchi.
2. Kuchukua maamuzi ya kuwafukuza watendaji bila uchunguzi (mf kumwondoa mkuu wa TAKUKURU kisa hajahudhuria mkutano wake, je ni sahihi kila mfanyakazi kuwepo mkutanoni? Kazi zisimame?)
3. Kutafuta zifa zisizo na msingi
4. Kutoa vichekesho visivyochekesha.
5. Kujiona kila kitu kafanya yeye!
6.
Rais wangu, sio kila anayekusifia anakukubali, wengine wanatafuta Ugali Tu. Acha mafanikio yako yapige kelele na si wewe binafsi. Usiwabeze wala kuwang'ong'a waliokutangulia, wakosoe Kwa busara. Usiwe kama Caesar Nero, yeye kila aliyemsifia alipata mkate, na aliyemuambia ukweli aliambulia kulala milele!