Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

Baada ya hotuba hii Rostam alipiga simu moja tu jumba jeupe na kilichofuata hadi leo Lissu yuko gerezani kwa kesi yauongo lakini kisa ni hiki.
 
Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi kabisa anayehitajiwa na taifa hili kwa wakati huu tuliomo sasa hivi.
 
Mwanasiasa bora wa mda wote, hizi hotuba zitabaki kama kumbukumbu kwamba alisema.
 
Back
Top Bottom