Chifunanga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 290
- 102
...why troubled with something not existing!! kuna usalama wa taifa Tanzania!!! au unafanya mzaha...! tafuta mambo mengine ya maana tujadiliane.Wadau,
Mi kila siku nikiingia jamvini nakutana na post zinazodai, ooh, usalama wa taifa wako JF, oh usalama wa taifa wapo JF.
Nahisi labda hao UWT wamekatazwa hata kufungua page ya JF....kwa sababu gani?
Kwa sababu, Invisible alipost ile hotuba ya rais jana mapema kweli. Na watu wakatoa comments kuwa mabomu ya GLM hayakulipuka tarehe 17 bali ni tarehe 16.
Cha kushangaza usiku ile speech imetoka vilevile na rais anasema tarehe 17. Sasa kama hawa UWT wapo JF na wanasoma hizi post, kwa nini hawakumsaidia mkuu wao kurekebisha hii kitu?
Hawaoni kuwa, kama wanaweza kukosea jambo kubwa kama hilo, tutajuaje kuwa walipatia walivyosema urefu wa kina cha maji? au hali ya usalama wa nchi?
Naomba kuwakilisha.
Hv ile speech kwa mda ule si ilikuwa tayali imelekodiwa mkuu!
Kwa hiyo ilikuwa too late nadhani!
mhhh live wapi kile kipindi kinalekodiwa mkuu! Baadaye cd zinagawiwa kwenye kila kituo cha matangazo kwaajili ya kuonyesha! Ndo maana kila tv inamda wake wakuonyesha mkuu! Live si anaweza kuzimia unadhani mchezo wewe!ina maana huwa anaenda studio kurekodi speech au anaongea na wananchi "live"?
basi hata hiyo familia yake vilaza wanashindwa vp kumshauli sasa!inawezekana hata familia yake haikubali uongozi wake ila basi tuu inabidi, sembuse uwt.
Wadau,
Mi kila siku nikiingia jamvini nakutana na post zinazodai, ooh, usalama wa taifa wako JF, oh usalama wa taifa wapo JF.
Nahisi labda hao UWT wamekatazwa hata kufungua page ya JF....kwa sababu gani?
Kwa sababu, Invisible alipost ile hotuba ya rais jana mapema kweli. Na watu wakatoa comments kuwa mabomu ya GLM hayakulipuka tarehe 17 bali ni tarehe 16.
Cha kushangaza usiku ile speech imetoka vilevile na rais anasema tarehe 17. Sasa kama hawa UWT wapo JF na wanasoma hizi post, kwa nini hawakumsaidia mkuu wao kurekebisha hii kitu?
Hawaoni kuwa, kama wanaweza kukosea jambo kubwa kama hilo, tutajuaje kuwa walipatia walivyosema urefu wa kina cha maji? au hali ya usalama wa nchi?
Naomba kuwakilisha.
...why troubled with something not existing!! kuna usalama wa taifa Tanzania!!! au unafanya mzaha...! tafuta mambo mengine ya maana tujadiliane.
Sasa kama anawachukia hawa jamaa c kuna cku watumtengenezea issu biashara iisheNimeipenda, Usalama wa Taifa wanamchukia sana JK, mbona wanasema jamaa hawaheshimu kwa kazi zao anawafokea wakimkataza kitu; wameamua kumwacha atwange anavyojua. Ila mmoja aliniambia waTanzania waoga wa mageuzi maana wangetaka hata leo kumzomea JK yuko tayari kuachia madaraka