Hotuba Ya Rais Magufuli Juu Ya Corona Na Mambo Yanayo Tia Shaka

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau sipo kisiasa katika kuvhumbua hoja zangu ndio maana huwa namuelewa Rais wetu nini huwa anamaanisha

Nisiongee mengi Ila tuongelee vipimo vya Corona TANZANIA sababu hata kabla magufuli hajasema juu ya iv vipimo nilikuwa nimesha tia Shaka juu ya vipimo vya CORONA nchini Uganda Maana Uganda walikuwa kila wakipima watu kumi mfano madereva wanakuta 9 wana Corona. Nikajiuliza sikupata majibu

Leo rais kasema kapeleka sampo za vitu kadhaa tofauti tofauti lakini majibu yametoka kua. Baadh ya vitu vina Corona

Je. Corona ni nn Kama vipimo vinsonesha mpaka kwenye papai Kuna Corona kwa mujibu wa vipimo watu tutaweza kujificha wap ili tuepuke Corona? Ok nimeona baadh ya watu wanasema hawashangai Corona kukutwa kwenye mbuzi but why marekan walishangaa kukuta Corona kwenye chui jibu utapata kwamba. Wanyama hawana Corona na chui wa Marekani aliambukizwa kutoka kwa binadamu so vipi sisi huyu mbuzi wetu Alie kitwa na Corona?

Jibu ni simple tu Tanzania na hata baadhi ya nchi zinatakiwa ziwe makini na vifaa vya kupimia Corona isije ikawa ni Kama mashine za betting zimeshasetiwa majibu yote na huenda kupitia mashine zetu za kupimia tunawachanganya wagonjwa na watu wazima mwisho wa siku wagonjwa wazid kuwaanbukiza wazima maabara zetu huenda ndio zikawa matatizo makubwa ya usambazaji Corona

Pia rais kusema hayo Sio kwamba haamin Corona ipo apana anafaham vizuri na anafaham Zaid kwamba Kuna vitu havipo sawa apa hasa katika vipimo huenda Alie tupa vipimo ndio anae sambaza Corona Africa na kuhusu vifaa wote Africa tunatumia maden China na uzuri mifano ya vifaa vya China kutiliwa mashaka tunayo mingi Sana baadhi ya nchi kubwa za wazungu wamesharudisha vifaa vya China vyote wakidai haviko sawa

Nahis uzembe anao ukwepa Rais Magufuli ni Kama ule wa Italy, Marekani na nchi zingine walioufanya wa vipimo vingi vya bila matokeo mazuri mfano Italy alifunga nchi mzima Sasa hivi ni Zaidi ya miezi miwil Sasa haya tupige hesabu

Watu wako ndani wamefungiwa Ila bado Kuna wagonjwa je wanatoka wap wakati ilitakiwa baada ya kufungulia watu baada ya zile wiki mbili za mwanzo walitakiwa wagonjwa wote walio athirika wangeweza kuonyesha dalili na kujua wangap wanaumwa na wangap hawaumw lakini mpaka Sasa ni miezi 2 still bado wanaitaj muda kubain wagonjwa so Kama ni ivyo Basi watu watakua bado wanaambukizana je wanaambukizana vip? Kama Rais Magufuli alivyosema huenda bado Kuna kitu hakijaeleweka kwenye huu ugonjwa watu wanatakiwa wachunguze Zaidi

Pili maabara yetu nafikiri Rais Magufuli kawapa dongo tu ili wajitathmini wapi wanakwama wakaparekebishe wajaribu kununua hata vifaa nchi zingine tuache kutegemea vitu vya misaada Corona ipo inaua Ila kupambana nayo bado ni mtihani Kwani hatujaujua ugonjwa vizuri anaebisha ataniambia Nani ameumaliza kwa kujifungia ndani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muda wa serikali yenyewe kufanya maamuzi magumu ya kuacha mashirikiano na kuacha kununua vifaa toka ktk nchi zinazoonekana kuzalisha vitu fake,tatizo ni la serikali yenyewe siyo sisi watumiaji,unaposema vifaa fake unawagusa TBS na wapokeaji na waagizaji pia,sisi tuwalaumu wao

CCM = serikali
Wakusanya Jodi
Wapanga bajeti
Manunuzi na uagizaji
Wakaguzi

Sasa nani alaumiwe?

Hili dubwana linaloitwa ccm ni zaidi sumu
 
Ifikie wakati muache kutuchanganya! Tunajitahidi sana kujilinda na kuchukia tahadhali mbalimbali dhidi ya huo ugonjwa. Hizi hotuba zenu za mara tujifukize, mara barakoa za nje zina Corona, nk zinatuchanganya.
 
CCM = serikali
Wakusanya Jodi
Wapanga bajeti
Manunuzi na uagizaji
Wakaguzi

Sasa nani alaumiwe?

Hili dubwana linaloitwa ccm ni zaidi sumu
China hiyo hiyo ndio mnayoisema kuwa ni marafiki wakubwa wa kwenu, China hiyo hiyo ndio mnayoitumia kuinyanyapaaa na Marekani, Mimi sioni tatizo la vipimo kwetu labda tatizo la vipimo kule kwenye nchi zenye maambukizi makubwa Lakini sio kwetu na unaposema Uganda umesahau kuwa uganda wanapima watu wengi Sana na maambukizi yako chini na vipimo vilivyowaoima hao uliotaja ni hivyo hivyo wanavyopimia watu wao, hivyo wewe unataka ulazimishe vipimo vioneshe idadi ndogo sio? Acha mambo ya kulaumu vipimo kuwa umetegeshewa na waliovitengeneza Wakati huko huko waliovitengeneza hata asilimia tano ya maambukizi hujawafikia, ujue Mimi sijawaelewa kuhusisha vipimo kuwa vimetengenezwa kuuwambukiza Au kusema uongo, maaana huyo mnaemtuhumu nae anamaaambukizi tena zaid Na zaidi hujamfikia. Lakini pia inaonesha nyie mnatapa tapa maaana mwaanzoni mlisema mask zina corona mmeletewa mask zenye corona sasahivi mnatuhumu vifaaa mkoje Lakini nyie? Mbona mnazua taharuki kila Siku na kuleta hofu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kutuchanganya bana...wote ni serikali nyie mnaanza kunyosheana mikono...wananchi sisi tumeamua kuchukua hatua zetu binafsi..movement tumepunguza, barakoa, hatushikani mikono etc....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaio papai Lina Corona?

Back
Top Bottom