Hotuba ya mwisho wa mwezi.

Waswahili wanasema kuwa hata mpumbavu akikaa kimya huonekana mwenye busara, sasa kaona akae kimya angalau aonekane mwenye busara si unaona kila hotuba alizokuwa anatoa watu walikuwa wanazidc ile mbaya, sasa kwa wakati huu atatoka na hotuba gani ili wenye nchi wamuelewe, labda wahutubie kuwa juzi alipokwenda kwa Obama amemuahidi kuwa atamwongezea net zingine kwa hiyo wakae mkao wa kula
 
Wakuu salaam sana! Taratibu zilionyesha kuwa kila mwisho wa mwezi JK analihutubia Taifa. Miezi kadhaa cjaona hicho kitu, what went wrong? Was it JUST KIDDING(JK) as I saw from his FB pages?

Hotuba leo ipo mkuu! Soon anatoa na kutokana na urasimu wa Mod, nitawawekeeni hotuba hiyo kwenye jukwaa la habari mchanganyiko na sio hapa maana Mod hakawii kuilaza hadi kesho.
 
Aliekuwa anamuandalia Hotuba January Makamba yupo bize Jimbon kwake kwa sasa!!!! Nani atamuandalia tena,,,,
 
Wakuu salaam sana! Taratibu zilionyesha kuwa kila mwisho wa mwezi JK analihutubia Taifa. Miezi kadhaa cjaona hicho kitu, what went wrong? Was it JUST KIDDING(JK) as I saw from his FB pages?

Nimesikia leo hatatoa hotuba mida ya saa mbili...tegemea yafuatayo;
  1. Malalamiko dhidi ya CDM kuwa wanachafua amani,japo anaweza asitaje moja kwa moja kama alivyozoea kusema..
  2. Uchumi unakuwa kwa kasi ya kuridhisha...
  3. Marekani wamekubali kuja kuwekeza kwa wingi.....
  4. Dini imeanza kutugawa kwasasa...bila kujiuliza nani anayeleta hayo yote...
  5. Ajali ni nyingi,nawapa pole wafiwa bila kuchukua hatua,kupeana salamu za rambirambi umekuwa wimbo kwa watanzania...
  6. Asanteni kwa kunisikiliza....!!!!
 
Hotuba leo ipo mkuu! Soon anatoa na kutokana na urasimu wa Mod, nitawawekeeni hotuba hiyo kwenye jukwaa la habari mchanganyiko na sio hapa maana Mod hakawii kuilaza hadi kesho.

Yaani mods hapo ndipo uwa wananikera...kama uwa wanaenda kulala watuachie sie tuendelee kujinafasi bana,haa!! Mods ningekuwa siogopi ban ningewapa maneno magumu...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom