Seriksli mtailaumu bure maana imeshapitisha Katiba ya Simba. Changamoto iliyopo ni Mo kutaka awe mwekezaji peke yake wakati Katiba inataka wawekezaji 3.Mchakato unachelewa kwa sababu ya maslahi na urasimu wa kisheria kutoka serikalini na klabuni kwenyewe.
Uko sawa kisheria, lakini tuongee ukweli wa soko la Bongo. Ni mfanyabiashara gani mwingine mwenye akili timamu atakayeingiza mabilioni yake Simba akubali kuwa mwekezaji wa pili au wa tatu chini ya Mo?Seriksli mtailaumu bure maana imeshapitisha Katiba ya Simba. Changamoto iliyopo ni Mo kutaka awe mwekezaji peke yake wakati Katiba inataka wawekezaji 3.
Wakishaanza mchakato ndio tutajua kama wapo au hawapo.Uko sawa kisheria, lakini tuongee ukweli wa soko la Bongo. Ni mfanyabiashara gani mwingine mwenye akili timamu atakayeingiza mabilioni yake Simba akubali kuwa mwekezaji wa pili au wa tatu chini ya Mo?
Unachofeli ni kulinganisha mkataba wa biashara na kununua hisa. Bilioni 40 za Azam ni za kuonyesha mechi kwa miaka 10, hiyo ni biashara ya haki za TV, sio kwamba Azam wameingia kumiliki klabu. Mo anatoa Bilioni 20 plus ruzuku za kila mwaka kwa ajili ya kununua 49% tu ya hisa. Hata mkileta hao wawekezaji wengine watatu, hisa zao hazitazidi hiyo 49%. So, unataka Mo atoe bilioni 100 kwa hisa zisizompa maamuzi kamili? Thamani ya Simba ipo juu, lakini hisa zina kikomo chake.Wakishaanza mchakato ndio tutajua kama wapo au hawapo.
Azam alipotangaza kuingia mkatabawa tv kwa Simba na yanga wa miaka 10 na kulipa bilioni 10 mo alipinga na kusema brand ya Simba ni kubwa kuliko yanga. Baadae Simbawalichukua pesa kimyakimya.
Kama bilioni 40 kwa miaka 10 ni ndogo hixo bilioni zake 30 zinalingana na thamani ya Simba?
Hebu rudia kusoma ulichoandikaUnachofeli ni kulinganisha mkataba wa biashara na kununua hisa. Bilioni 40 za Azam ni za kuonyesha mechi kwa miaka 10, hiyo ni biashara ya haki za TV, sio kwamba Azam wameingia kumiliki klabu. Mo anatoa Bilioni 20 plus ruzuku za kila mwaka kwa ajili ya kununua 49% tu ya hisa. Hata mkileta hao wawekezaji wengine watatu, hisa zao hazitazidi hiyo 49%. So, unataka Mo atoe bilioni 100 kwa hisa zisizompa maamuzi kamili? Thamani ya Simba ipo juu, lakini hisa zina kikomo chake.
Kinaeleweka sana, inategemea na upeo wako wa kuelewa mambo uko vipi.Hebu rudia kusoma ulichoandika
Mo angekuwa anapata hasara angeiacha Simba ili waingie wawekezaji wapya. Tatizo la Mo anataka mchakato wa uwekezaji ukamilike huku yeye akiwa ni mwekezaji pekee kitu ambacho kwa Katiba ya sasa ya Simba hakiwezekani.Unachofeli ni kulinganisha mkataba wa biashara na kununua hisa. Bilioni 40 za Azam ni za kuonyesha mechi kwa miaka 10, hiyo ni biashara ya haki za TV, sio kwamba Azam wameingia kumiliki klabu. Mo anatoa Bilioni 20 plus ruzuku za kila mwaka kwa ajili ya kununua 49% tu ya hisa. Hata mkileta hao wawekezaji wengine watatu, hisa zao hazitazidi hiyo 49%. So, unataka Mo atoe bilioni 100 kwa hisa zisizompa maamuzi kamili? Thamani ya Simba ipo juu, lakini hisa zina kikomo chake.
Uzuri hajafafanu ni Bank gani wala kwenye Account ya nani🤣😅Hela iko benki lakini Simba haina Akaunti
Kwenye mpira wa Afrika hakuna faida ya moja kwa moja ya kifedha, Mo hawezi kuiacha Simba kwa sababu Simba inampa brand leverage na nguvu ya kisiasa kwenye biashara zake zingine za METL, hiyo ndio faida yake.Mo angekuwa anapata hasara angeiacha Simba ili waingie wawekezaji wapya. Tatizo la Mo anataka mchakato wa uwekezaji ukamilike huku yeye akiwa ni mwekezaji pekee kitu ambacho kwa Katiba ya sasa ya Simba hakiwezekani.
Wala simba haina mdhamini wa benkiHela iko benki lakini Simba haina Akaunti