Hotuba ya Mkuu jana

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Kiasi fulani niliipenda hotuba ya Mkuu jana ingawa kuna maswali mengi ambayo hakuyatolea majibu km aliposema waajiri wanatoa masharti magumu wanapotangaza nafasi za kazi, kipengele cha uzoefu kinawazuia vijana wanaotoka vyuoni kupata kazi. Nilitegemea yeye Mkuu angetoa dira, ni kweli vijana hawana uzoefu ktk kazi na hii imetokana na wanafunzi vyuoni kukosa elimu ya mazoezi ya kutosha (field work). Pengine serikali ione umuhimu wa kutenga fedha zaidi kwa vyuo vyetu ili wanavyuo waweze kupata field work zaidi ili wasiwe kikwazo kwa waajiri pale wanapoajiriwa.Nawasilisha.
 
Heri yako wewe uliyeipenda! Wengine tuliiona kama sehemu ya kutaka aonekane amekubalika baada ya mwaka jana kutokualikwa kwenye sherehe kama hiyo! Hotuba ...
 
Kila mtu anahoja yake. Hakika hotuba ya jana imetulia. Tatizo ni huo uzoefu, ungetolewa ufafanuzi anautatuaje. Big up JK. Ukikosa tunapaswa tukupondee ila kwa waungwana kama sisi ukifunika mabonde lazima tukupongeze!
 
Back
Top Bottom