Kwa aliyopitia na anayopitia,inasikitisha sana,dunia ina mengi sana.Nadhani kwa sasa tunaweza kusema "Inafurahisha sana", Au vipi?
Na bora hata ndege ilivyozuiliwa SA walau ilikuwa inampa faraja. Sasa ndege yenyewe imeachiwa ndio amezidi kunyong'onyea tundu wetu.Kwa aliyopitia na anayopitia,inasikitisha sana,dunia ina mengi sana.
Kwa uhakika kabisa, nina imani kuwa hujui ulichoandika hapa!Atambue tu kuwa pamoja na sheria na kila kitu ila dunia ina kanuni zake ndio maana hata mkulima aliweza kuizuia ndege ya mabilioni.
Lissu aliahidi kumuoa huyo Lumumba (Eltwege) baadae akapata chombo kikali kuliko yeye so,jamaa roho inamuuma sana kwa kufanywa mchepuko!Dogo, mbona huyu Lissu anakuumiza Sana kila mara? Funguka ushauriwe.Hata Kama bi mkubwa wako alikuwa mchepuko wake kisha akatemwa, basi usibebe mzigo Wa bi mkubwa wako kwani utazidi kuumia!
Maneno ya kulishwa na kisha unayameza kijinga ni sumu kwa afya ya akili yako! Kama kweli ni msaliti basi usaliti huo utakuwa ni wa kimahusiano Kati ya bi mkubwa wako na yeye lakini kitaifa na kiulimwengu Lissu ni shijaa na mtu Wa Mungu kwani ni shujaa Wa karne hii. Haijawahi kutokutokea mtetezi Wa wanaoonewa na dola kupendwa na wanafiki Wa dola!
Mashoga wana roho mbaya sanaHotuba za wasaliti husomwa na mashetani