vontech
New Member
- Aug 11, 2018
- 1
- 13
Hii ni Hotuba ya Mheshimiwa Tundu Lissu aliyoitoa jana katika Maadhimisho ya Miaka miwili tangu aliposhambuliwa na watu wasiojulikana pale Dodoma. Mheshimiwa ameongea mambo mengi ikiwemo Suala la Tarehe rasmi ya kurudi Nyumbani, Mheshimiwa amesema watu wengi walimshauri arudi nyumbani kimya kimya kwa ajili ya Usalama wake lakini kwakuwa yeye sio Muharifu hawezi kufanya hivo bali aterejea mchana kweupe.. Unaweza Kumsikiliza wewe mwenyewe Kupitia video hapo chini