Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,093
METL msharahara shilling 1500/= per day. hakuna mfanyabiashara mwenye pesa ya kutupa, huyu angekuwa mkarimu angeanza kwanza na wafanyakazi wake wanaomzalishia huo utajili.
Nilikuwa napitia ripoti ya maendeleo ya jimbo la Singida nikaanza kujiuliza kuhusu COST BENEFIT ANALYSIS inakuwaje unapokuwa mbunge wa Tanzania...halafu returns za pesa zako zinarudi vipi katika haya mazingira ya kumulikana na kutafutana uchawi kila kukicha?
Huyu jamaa toka awe mbunge ameshaspend pesa zake za mfukoni BILIONI 6 kwa ajili ya jimbo lake
sasa najiuliza je kuna mbunge kama huyu? Na kama kaweza kutumia zaidi ya Bilioni 6 kutoka mfukoni mwake, kwa nini hajawa waziri huyu?
Kwa sababu shule anayo
pesa anayo na hatotumia magari ya serikali
sidhani kama posho atakuwa anchukua
Je Rostam alikumia kias gani kwenye jimbo lake Igunga?
Je wana Singida mnaweza kutuazima sisi wana Rufiji huyo Mo Dewji walau kwa miezi 3 tuu kisha mumshukue

Ana njaa na uwaziri!
Kama kweli amemwaga bilioni 6 hilo jimbo lingekuwa tofauti sana na lilivyo sasa. Neema ingeonekana. Hapa naona kuna mtu anatafuta kazi ya uwaziri, hivyo anatumia propaganda kuwa ana pesa za kusaidia watu. Lakini akumbuke kama anataka kusaidia watu Mo haitaji kuwa na cheo chochote, anaweza kuwa kama mother Thereza na kufanya mambo yake ya kusaidia watu.
Ila nina swali moja, kama anatumia 6 bilioni anapata nini in return?
Hizo Bilioni 6 amezitumia kufanya kitu gani jimboni?
Hili ndo swali kubwa tunalotakiwa kujiuliza watanzania wote manake wengi wanafurahia sana vya kupewa..huyu jamaa ni mfanyabiashara lazima apande panapostawi je amelenga wapi kumsaidia kurejesha hii 'misaada'..TAKUKURU na TISS hivi huwa mnajihangaisha kupata ukweli wa habari kama hizi na implication zake kwa uchumi na ustawi wa Taifa letu ikiwa mtu anatoa fedha nyingi kiasi hiki? Nini hasa lengo lake naamini sio Ubunge..
nina wasi kama zimetumika hizo bilioni labda kwenye mifuko ya watu au huenda wame exaggerate hizo takwimu, mie ni mpiga kura wake hivyo nafahamu mambo ya maendeleo aliyoahidi hata 15% haijazidi kwenye utekelezaji wake na miradi aliyotekeleza wala haizidi 1 bilioni na kwa bahati mbaya sana haijawasaidia lolote kiuchumi wana sgd badala yake hali ni mbaya sana. Embu mo asitafute sifa kwenye media badala yake afanye kazi sie wana sgd tutasema akifanya vyema ila yeye akae kimya.
six bilioni zimetumika wapi (tangeble benefits) ?
katika hii dunia hamna kitu kama MWANASIASA KASAIDIA
METL msharahara shilling 1500/= per day. hakuna mfanyabiashara mwenye pesa ya kutupa, huyu angekuwa mkarimu angeanza kwanza na wafanyakazi wake wanaomzalishia huo utajili.
tafadhalli tupe repoti hiyo? Pia kama unaweza kutupa kwa ufupi maeneo ambayo amefanya matumizi hayo.
Mi nataka kumn'goa.. suggestions please!
Nilikuwa napitia ripoti ya maendeleo ya jimbo la Singida nikaanza kujiuliza kuhusu COST BENEFIT ANALYSIS inakuwaje unapokuwa mbunge wa Tanzania...halafu returns za pesa zako zinarudi vipi katika haya mazingira ya kumulikana na kutafutana uchawi kila kukicha?
Huyu jamaa toka awe mbunge ameshaspend pesa zake za mfukoni BILIONI 6 kwa ajili ya jimbo lake
sasa najiuliza je kuna mbunge kama huyu? Na kama kaweza kutumia zaidi ya Bilioni 6 kutoka mfukoni mwake, kwa nini hajawa waziri huyu?
Kwa sababu shule anayo
pesa anayo na hatotumia magari ya serikali
sidhani kama posho atakuwa anchukua
Je Rostam alikumia kias gani kwenye jimbo lake Igunga?
Je wana Singida mnaweza kutuazima sisi wana Rufiji huyo Mo Dewji walau kwa miezi 3 tuu kisha mumshukue
Hii ni pesa ya Jamatini tu,si yake
Mo Dewji ni SHIA na Mashia si watu wa JAMATINI. Wao wanaenda Msikitini kama wengineHii ni pesa ya Jamatini tu,si yake
Lete ripoti ya mchanganuo wa aliyoyafanya Lema Arusha Mjini
Nilikuwa napitia ripoti ya maendeleo ya jimbo la Singida nikaanza kujiuliza kuhusu COST BENEFIT ANALYSIS inakuwaje unapokuwa mbunge wa Tanzania...halafu returns za pesa zako zinarudi vipi katika haya mazingira ya kumulikana na kutafutana uchawi kila kukicha?
Huyu jamaa toka awe mbunge ameshaspend pesa zake za mfukoni BILIONI 6 kwa ajili ya jimbo lake
sasa najiuliza je kuna mbunge kama huyu? Na kama kaweza kutumia zaidi ya Bilioni 6 kutoka mfukoni mwake, kwa nini hajawa waziri huyu?
Kwa sababu shule anayo
pesa anayo na hatotumia magari ya serikali
sidhani kama posho atakuwa anchukua
Je Rostam alikumia kias gani kwenye jimbo lake Igunga?
Je wana Singida mnaweza kutuazima sisi wana Rufiji huyo Mo Dewji walau kwa miezi 3 tuu kisha mumshukue
Je amezitumiaje hizo Bilioni sita. au ndio maneno ya kisiasa?
weka mchanganuo.