Simba Mangu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 350
- 71
ile ya kwako ulio andikiwa lumumba iko wapi? mwaka huu mnaloHotuba ile kaandikiww na Apson Mwang'onda. Yeye mwenyewe hata kuongea hajui
ile ya kwako ulio andikiwa lumumba iko wapi? mwaka huu mnaloHotuba ile kaandikiww na Apson Mwang'onda. Yeye mwenyewe hata kuongea hajui
Acha kumfanananisha JK na mbowe. Mbowe next levelJamaa ni jembe hasa kwa hotuba sawa na Obama au JK mwenyewe
mkulu alibariki
Hotuba ile kaandikiww na Apson Mwang'onda. Yeye mwenyewe hata kuongea hajui
Nilikua nimewapa chadema siku moja mtoe maelezo kwanini mmempokeaLowassa asante m.kiti wangu umejieleza vyema na Lowassa kajieleza vyema kuhusu Richmond nimewaelewa vyema nishanoa kisu nasubiri kuchinja magamba october.
Lowassa huo ufafanuzi wako wa Richmond ulikua wapi kuutoa siku zote kwakweli nimehemewaaa Mungu akubariki sana.
#VivaChadema
#VivaCUF
#VivaNLD
#VivaNCCR
#VivaUkawa
#TanzaniaKwanza
#VivaUkawa
Ikulu hioooooooo nyeupe.
Mwalimu wa uongo, leo kala matapishi yake mwenyewe!
Hivi mgonjwa ambae hata hawezi kuongea sawasawa tuliyemtema CCM leo kainunuwa chadema kwa fedha yake.