achimwenehk
Member
- Jul 28, 2015
- 32
- 16
Ki ukweli Mbowe yuko njema sana kwenye kupangilia hoja zake anaye bisha hili bac hajawa libarated kifikra.
Hahaha kweli kabisa Aliwaambia Lumumba over my dead body Lowassa aingii Ukawa kazi mnayo
Nimeamini kuwa kiongozi bora sio lazima ujaze vyeti vya Phd nyumbani. Uongozi ni karama wanayopewa watu wachache sana na wanajua kuitumia.
Kiongozi anaekunywa matapishi yake? huyo nae ni kiongozi au tapeli tu?
Imeandikwa na Abubakar Lyongo na kuhaririwa na Chenge.
kamati ya mwakyembe ilisema kwenye mapendekezo yake kwamba wote waliohusika kwa njia moja au nyingine WAFIKISHWE MAHAKAMANI lakini wewe pamoja na MA escrow mengine mlikunja mikia yenu maficha nyuma. tangia 2008 hamkumuona kama ni fisadi . LEO baada ya kuondoka ccm ndiomnamuona fisadi? mwaka huu lazima suluali ziwashuke na mavi yenuhayoDuh! Yaani yule fisadi mnaendelea kumpamba! Hakika CHADEMA mmechanganyikiwa
Mwalimu wa uongo, leo kala matapishi yake mwenyewe!
Hivi mgonjwa ambae hata hawezi kuongea sawasawa tuliyemtema CCM leo kainunuwa chadema kwa fedha yake.
Yaani upinzani kuna watu wenye uwezo mkubwa saana wa kuhutubia, I hope skills zao watazipass kwa mgombea wao, as I think he truly needs them for the speeches.Hakika kwa kila mmoja aliyepata kushuhudia hotuba ya Mhe.Mbowe katika mkutano wa kumkaribisha aliyekuwa Waziri Mkuu wa awamu ya nne Mhe.Edward Ngoyai Lowassa ametoa hotuba bora sana. Kwa wale waliodhani kiwango cha elimu ni kipimo cha ustaarabu, hekima na uelewa basi leo Mhe.Mbowe amethibitisha kwamba anaweza. Hotuba imejaa ukweli, haja ya msamaha na mabadiliko, mwanzo mpya wa kifikra katika vichwa vya raia na mwongozo safi kwa wanachama wa CHADEMA na UKAWA. Hongera sana Kamanda Mbowe,nimekuelewa na umenifungua katika namna ya kucheza siasa. Pia nimshukuru kipekee Mhe.Lowassa kwa kunitoa wasiwasi, ameanika ukweli wake kuhusu usafi wake na namna alivyobambikiziwa kashfa ya RICHMOND. PEOPLEEEES!
u made my nightMbowe Leo kanitoa hofu na mashaka, haya October ifike nijichinjie mie, naanza na Mkubwa wao.. Halafu nashuka chini...katakatakata mapadlocks alcohol...
Kazi mnayo nyinyi, mwenzenu kashatia mshiko wake ndani, anajali nini?
Wamekutuma pekee yako? Nend kawabebe wenzako mje na tarumbeta.