Hotuba ya Lema Bungeni - Mei 15, 2014

Kamanda Lema atasoma hotuba yake kesho asubuhi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wameshajiunga na maliberali haya hayakwepeki...tuendelee kuwaelimisha

mkuu ,huyu tapeli anashangaza sana.. Badala ya kumuwaza bi. Harusi wake anamuwaza lema..hawa waliberali wana matatizo sana
 
TBC naona inaugua Dengue...... Inaanza kukata hovyo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hahahahahahaha Lema ni kwere.....umeme bungen wa katwa!
 
makinda amejianda kusema(mh.lema ondoa hayo maneno)
 
Huku kwetu walikata umeme toka saa kumi na moja hadi sasa hivi, tujuzeni jamani kamanda kasemaje huko mjengoni???
 

Atahutubia kesho baada ya kipindi cha maswali na majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…