DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
- Thread starter
-
- #21
TBC wanaanza kuonesha dalili kuwa hawatamuonyesha mh Lema naona matangazo yaanza kukatika mda huu Chikawe akiwa anahutubia ikifika kwa Lema itakatika kabisa hii tbccm bhana!
Kweli.
Endelea kutupa update kwani huku kwetu wamekata umeme.
lema mini kabaang hana jipya
TBC wanaanza kuonesha dalili kuwa hawatamuonyesha mh Lema naona matangazo yaanza kukatika mda huu Chikawe akiwa anahutubia ikifika kwa Lema itakatika kabisa hii tbccm bhana!
Vp wewe unalo?.

naanza kupata wasiwasi kuwa TBCCM itakata matangazo yake pindi kamanda Lema atakavyoanza tu kuwasilisha maoni ya kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, naandika hivyo baada ya kuona TBCCM imeanza kuugua Dengue mda huu....
james ole milya unajidhalilisha...umefilisika kwa hoja na umefulia.kajipange upya
Naona hata chikawe anasoma kama mjamzito
Au ndio mbinu ifike saa 2 tbc wajifanye ni taarifa ya habari wanaweka