Hotuba ya Kiongozi makini tunayemwitaji Tanzania

Hotuba ya Kiongozi makini tunayemwitaji Tanzania

Hii speech mbona inafanana na maudhui yaliyoko katika mwimbo wa Mrisho Mpoto? copy and paste nini?!

dhaifu .....k wewe.....angalia mitoto yako ilivyo na afya lazima ipate kisukari nakuhakikishia.. kama kuna mungu mi namuomba sana mnalaana nyie mnaoitetea ccm.........
 
Hivi hapo cha maana haswa ni nini? mimi sijakiona hata kimoja, misaada hatutaki wakati chadema kinafadhiliwa na CDU ya Ujerumani.

Kachukue buku 7 lumumba kwa ajili ya viroba ili koo lipoe baada ya kukaa kwenye keyboard muda mrefu....gamba mkubwa wewe
 
Hivi simiyu yetu ni nani? Yaani huyu jamaa sijui uwezo wake wa kufikiri ni mdogo,anafikiri kwa kutumia mas.abu.ri huku ni kuyapa kazi nyingine ma.t.ako kitu ambacho kimsingi sio kazi yake! Hata kwenye ukweli lenyewe ni kupinga tu.Ifikie wakati Hamy D,Simiyu yetu,Lizabon,the marcopolo na wengine wenye mitazamo ya kijinga kama hawa wajulikane kwa majina yao halisi....yanakera kweli
 
H. E. Dr. W. Slaa heshima kwako umedhirishia ngozi nyeupe ya kuwa co kila kiongozi wa kiafrika anafikiria kwa kutumia makalio.
Nimeipanda sera ya investment in human resource / developing skilled rather than investing explotation of resources.
 
Black widow atakuwa na tatizo la kisaikolojia, hajui anachotaka anahamgaika more than kuku inayotaka kutaga.

Nadhani atakuwa ameachika kwa kuleta kiburi cha ujuaji sasa anapotezea jf.
 
.
.
.
.
.
Our country rich in resources is
being exploited by foreign entities,
while our President is busy trotting
the world begging for mosquito
nets. With our resources, we can
make our own mosquito nets
without them being donated to us.
Chadema party which I represent is
poised to changed that, and the
most important tool we need is the
development of human capital


............
.............
..............
nimemuelewa sana dokta hapa
 
Hii sio hotuba makini kabisa,
1. Huwezi funga safari ukaenda kumusuta mtu nyumbani kwake.

2.Hao wanaotupa msaada si kwamba wanakupendeni wao wanataka uendelee kuwa hivyo, ili watoto anaowasema Dr. Slaa kuwa kodi zao zinalipa sisi, ni kinyume chake ni ili hao watoto wapate kwenda choo.

3. Anawaomba elimu, wakati hiyo ndo silaha yao mhimu ya kuhakikisha hawakupi hiyo elimu ili hao watoto waendelee kwenda shule na choo. wametunyima hiyo elimu ili tuendelee kuwafanya watuuzie hilo box la viatu, sasa akikupa hiyo teknolojia yeye box la viatu hataliuza wapi? Sana sana alichokifanya Slaa ni kuwaambia wabadiri namna ya kutunyima elimu kwa staili nzuri na yenye kasi zaidi.

Hotuba mbovu kabisa.
Ni sawa unajibu sahihi ktk swali tofauti.

Nafikiri Dr Slaa, pia anaangalia mambo kwa pepeteo jepesi sana, swala la elimu la kiteknolojia, huwezi kulichukilia kijepesi namna hiyo, labda kama anaongela elimu ya kukalili na kushusha ma equation ya akina aboti na rampati hapo sawa.

Elimu anayongelea inatakiwa ujasusi wa kutosha, ni swala la kijasusi kama ulivyo ujasusi mwingine na ili ulifanikishe linahitaji usiri na kuachana na hotuba zisikuwa na tija. Swala hili ili ufanikiwe lazima uandae SPECIAL FORCES, ambao wao unawapenyeza kwenye system za nchi zilizoendelea kiteknolojia, na wanakuwa wanatoa feedback huku TASK FORCE nyingine home kazi ni ku reverse engineering.

University za ukweli ulaya zinazofundisha mambo ya ukweli huwezi ingia murugaruga huko. sanasana utaingia kwenye university za kupigwa theory na viji hands-on ambavyo system zimeshatengenezwa tayari. Nchi nyingi utasikia hizo university ni military university sasa kuja kuingia huko kwenye military university nafikiri unafahamu ni nini kinapaswa.
 
Huyu ndiye Rais ninayemuhitaji...! Sitaki mbeba vyandarua..!
 
Back
Top Bottom