Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,275
KK kwa kweli leo katoa somo kubwa sana kwa Walimwengu leo!! Kaanza na Nyerere..katikati akijiweka weka yeye binafsi na juhudi zake ..akamaliza na Nyerere...watu watambue umhimu wa katika ukombozi wa watu wote wanoonewa duniani. Akimaanisha mtu kama Madiba alipokuwa gerezani na likuwa mnyonge tu asieweza kitu.....lkn JK Nyerere alijitoa kumpigania!
Vijana hawajui historia kwa sababu they are not told. Mtoto asipojua historia yake wa kulaumiwa ni baba.
Hakuna kitu kinachonikera kama Wasourh weusi kuwaita waamiaji weusi makwerekwere.
Hawa ni kweli hawajui lolote na wanakela sana wanadhani kila mtu mweusi wakimuona kule wanaona amekimbia njaa kwao na kwenda kuchukuwa kazi zao.
Imagine muafrika mwenzako anasema eti wewe mnyama kakulu yani mweusi, kumbe hajui mbele ya wazungu nyinyi wote ni black people, nawachukia sana Wasouth ila watu wengi ambao hawajatembea hawawajui vizuri hawa watu.
Jamani pia katika ile shughuri kuna mida mc alikua akitaja Malawi watu wanacheka na yeye anacheka. Pia Zuma nae alitaja neno Malawi akacheka na watu wakacheka!. Hii ilitokea mara kadhaa.Je ilitokana na nini kwa aliyegundua sababu?
Well, inawezekana ila kumbuka RSA, neno Boers halitumiki na limezuiliwa kabisa na serikali na kama sikosei hata katiba inazuia kwa ajili ya "maridhiano". Mzee Kaunda amelirudia mara nyingi kwenye speech yake na kama ulifuatilia kila alipokuwa anatamka "Boers" kuna miguno ilikuwa inatokea au sauti fulani. You can connect the dots mkuu!!!! Take it from me!!!Mimi sidhani kama ile speech ina element za chuki ndani yake rather ilikua inakumbusha the reality of the struggles against the Apartheid Regime na kuwaweka "Boers" at their place considering the fact that some of the people who identified themselves as "Boers" attended the burial (De Clerk na serikali yake)
Nyerere aliliona hili mapema Ndio Maana alitaka Serikari ihamie Dodoma lakini wamegoma kuhamia Dodoma wameamua kubanana hapa hapa foleni hazitakwisha sana sana zitazidiTrue Marco, lakini na foleni hizi za Dar inawezekana kweli? watu wanondoka home saa 10-11 asb na kuingia home saa 3-6.
Idadi ya mimba tu imepungua, itakuwa uwezo wa kuwa na mijadara na familia.
Kaunda kuwaelimisha Vijana watambue Kuwa harakati za kuwakomboa haikuwa rahisi Kama wanavyofiri Pia vijana wanapaswa kuwapenda waafirika wenzao badala ya kuwafukuza Kama walivyofanya mwaka juzi
Mi nnachokumbuka alikuwa kila saa anamwita Kikwete, young man from Tanzania.
Vijana hawajui historia kwa sababu they are not told. Mtoto asipojua historia yake wa kulaumiwa ni baba.
True Marco, lakini na foleni hizi za Dar inawezekana kweli? watu wanondoka home saa 10-11 asb na kuingia home saa 3-6.
Idadi ya mimba tu imepungua, itakuwa uwezo wa kuwa na mijadara na familia.
Ni somo kubwa hasa kwa yule mvuta bangi Malema.
Inaonekana Nyerere alipofariki huyu mzee alipata breakdown kubwa sana