HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
2,642
6,071
Wakuu hotuba yenyewe ndiyo hii inayosomwa na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa. Someni kwa makini.

Makene

0752 691569/0688 595831

 
ccm kwa hili kinana hamtoki leo ...maana naona ushabiki umejaa na hii wizara ya maliasili watanza propaganda na kushambulia CDM badala ya kujenga hoja ...
 
Hotuba imejaa mipasho.

Ufafanuzi wa ishu ya tembo umetolewa na Msigwa ameona aibu kusema uongo wa kupotosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…