HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

Meli iliyobeba meno haimilikiwi na Kinana.

Kinana ni shareholder wa shipping agency. Hii ni kampuni inayoihudumia meli sio kuimiliki.

Kampuni hii haihusiki na ukaguzi wa mizigo inayosafirishwa na meli.

Watuhumiwa wa kesi ya meno ya tembo walifikishwa mahakamani mwaka 2009.

Msigwa anajua yote haya ila anapotosha kwa makusudi ili kuwalaghai watu.
 
Maccm yameuguzwa ugonjwa mbaya sana na cdm.. Yamekua na kazi ya kujibu hotuba za cdm badala ya kujielekeza ktk hotuba ya wizara husika.. Now cdm they run bunge...
 
Mzushi Nchimbi mbona hawajajibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa na hotuba ya kambi rasmi ya Upinzani?kuna issue ya maazimio ya bunge kuhusu utoroshaji wa wanyama hai, haijajibiwa na huyo Nchimbi, kuna hoja za vitalu nayo kimya,kuna hoja ya vitalu vya Selou nayo kimya, kuna mengi tu lakini hamuyaoni mnaleta ushabiki, hapo mmekabwa kinoma CCM hamchomoki kwenye hili.

Maana hotuba imejaa reference za tafiti,tume za bunge, tume ya Nchemba mwenyewe, bado mnasema uzushi, mfano uchunguzi wa kimataifa, uliobainisha ushiriki wa kada maarufu wa CCM kuwa ni jangili wa kimataifa nao ni uzushi?

Kwenye hii wizara hamtapumua
 
Maccm yameuguzwa ugonjwa mbaya sana na cdm.. Yamekua na kazi ya kujibu hotuba za cdm badala ya kujielekeza ktk hotuba ya wizara husika.. Now cdm they run bunge...
Rumanyika umenena vema kweli siku hizi wanaoendesha bunge ni CHADEMA,wanacheza ngoma ya CDM,hata Spika nae hoi,analeta ushabiki eti anasema kuwa kaeni kimya kama wenzenu walivyokuwa kimya,je kama hawajui kutumia kanuni hao maccm hiyo ni shauri yao sio kufanya ulinganifu.
 
Hiii ndio chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hakuna mbwembwe ni mawe tu.kitu kizito hicho chenye ncha kali mtela kapigwa chenga ya hatari!!!!!!!!!! Na vijana wa lumumba ccm,buku 7 leo hakuna mmeshindwa kazi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hotuba ya Msigwa imejaa UDAKU kwa sababu haina taarifa mpya na haijabadilisha chochote katika kuishauri serikali au kupendekeza maboresha.

Hotuba ni ya kulia lia tu tangu mwanzo mpaka mwisho.
 
Wizi, wizi, wizi mtupu. Sasa serikali inahaha kumnasua Kinana kupitia Nchimbi lakini waaaapi! Hapa Msigwa kagonga haswaaaaa!
 
Hotuba ya Msigwa imejaa UDAKU kwa sababu haina taarifa mpya na haijabadilisha chochote katika kuishauri serikali au kupendekeza maboresha.

Hotuba ni ya kulia lia tu tangu mwanzo mpaka mwisho.

Mdaku lazima aone mambo serious ni ya kidaku.
 
CDM lazima mjue kuwa CCM wanahangaika kujua nini kitasemwa na nyie,huyu mwampamba ni katoto kadogo sana katika ishu za ku hack mambo kama hiyo,mwacheni apige mayowe na atafute kula ya kila siku.
 
Meli iliyobeba meno haimilikiwi na Kinana.

Kinana ni shareholder wa shipping agency. Hii ni kampuni inayoihudumia meli sio kuimiliki.

Kampuni hii haihusiki na ukaguzi wa mizigo inayosafirishwa na meli.

Watuhumiwa wa kesi ya meno ya tembo walifikishwa mahakamani mwaka 2009.

Msigwa anajua yote haya ila anapotosha kwa makusudi ili kuwalaghai watu.

Wacha ulongo watuhumiwa wa kesi hiyo wote wapo nje na pia ya 2012, wahusika ni sharaf pia soma vinzuri hotuba wacha muhemko.
 
Meli iliyobeba meno haimilikiwi na Kinana.

Kinana ni shareholder wa shipping agency. Hii ni kampuni inayoihudumia meli sio kuimiliki.

Kampuni hii haihusiki na ukaguzi wa mizigo inayosafirishwa na meli.

Watuhumiwa wa kesi ya meno ya tembo walifikishwa mahakamani mwaka 2009.

Msigwa anajua yote haya ila anapotosha kwa makusudi ili kuwalaghai watu.

Ndio Nchimbi alivyokudanganya.

Ni share holder na mkewe!
 
Checklist:
1. Je, umeona taarifa yoyote mpya kwenye hotuba ya Msigwa?

2. Je, umeona utatuzi wowote wa changamoto za kitaifa kwenye hotuba hiyo?

3. Je, kusomwa kwa hotuba kama hii kunaweza kubadilisha nini nchini?

4. Je, hotuba hii isingesomwa kuna jambo lolote lingeharibika?

5. Je, hotuba hiyo imemuwezesha mwananchi kujua kama kiwango cha fedha zilizotengwa kwenye wizara husika kinatosha?

6. Je, hotuba hiyo imekuwezesha kujua meneo gani yanatakiwa kupewa vipaumbele na wizara hiyo katika mwaka huu wa fedha?
 
Nchimbi ameeleza sana kuhusu uzushi wa msigwa, kwa mwenye akili amesikia mwenye uji kichwani naye atabaki na uji wake
 
Hotuba imejaa mipasho.

Ufafanuzi wa ishu ya tembo umetolewa na Msigwa ameona aibu kusema uongo wa kupotosha.

Jicho la mipasho lazima likae kimipasho mipasho na daima lina ona mambo yote hata kama ni serious kuwa ni mipasho. Pole sana mwanamipasho unayedhani hotuma ya Msigwa ni ya mipasho
 
Back
Top Bottom