Hotuba ya Dkt Tulia yawafuta machozi waombolezaji na kumpa tabasamu Mjane wa Lowassa

Ndugu zangu Watanzania,

Kuna jambo ambalo Mwenyezi Mungu kaliweka ndani ya dkt Tulia Acksoni Mwansasu Dada wa Taifa,msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini, speaker wa bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani,ambalo pengine kuna kitu Mungu anakipitishia na amekuwa akimtumia dkt Tulia katika kupeleka ujumbe kwa watanzania.japo tunaweza tukawa bado hatujafunuliwa bado kwa wakati huu.

Ilikuwa hivi ndugu zangu, katikati ya simanzi nzito , mawazo mengi,majonzi mazito,maumivu makali na machungu makali mioyoni mwa ndugu ,jamii,rafiki na waombolezaji mbalimbali waliohudhuria katika shughuli ya kumsindikiza hayati Edward lowassa katika safari yake ya mwisho ya kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.

Ikafika zamu ya bunge kutoa salamu zake za pole kwa familia.ndipo akaitwa kwa heshimu kubwa dada wa Taifa ambaye ni speaker wa bunge dkt Tulia Acksoni Mwansasu. Ambapo akainuka haraka haraka kwa staha ,adabu ,heshima , unyenyekevu na kujiamini huku akiwa kavalia mavazi ya heshima na staha yaliyo mpatia nafasi na uhuru wa kutembea vizuri akaenda mahali palipo maalumu kwa ajili ya kuzungumza.

Akaanza kwa kurejea yaliyozungumzwa na mkuu wa KKKT kwa kurejea katika kitabu cha ayubu sura ya 14:1 eneo linalosema mwanadamu aliye zaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi ,naye hujaa taabu.yeye huchanua kama vile ua na kisha hukatwa. hapa akatoa somo kwa waombolezaji na watanzania waliokuwa wanafuatilia kupitia Tv kuwa pamoja na kuishi siku chache sisi kama wanadamu kuna muda wa kuchanua maua ,je maua yako yatakuwa ya kunukia na kuvutia wengi au itakuwaje? Akasema ni lazima tujitathimini tuwapo hai juu ya nini tunafanya na tunakuwa watu wa aina gani katika kuchanua kwetu na katika siku hizo chache za kuishi hapa Duniani.

Mwisho ndipo akamalizia kwa kishindo kikuu kilicho watetemesha nakuwafuta kabisa machozi waombolezaji na kumfanya mjane wa marehemu Lowassa na pamoja na Mheshimiwa Rais waliokuwa wamekaa jirani nyuso zao kutabasamu na kutikisa vichwa kwa faraja kubwa ya moyo waliyoipata kutoka kwenye maneno ya dkt Tulia.

Hii ni baada ya Mh Dkt Tulia kwa hekima na utulivu mkubwa sana kusema Mheshimiwa Rais salamu za bunge zinatoka katika kitabu cha WAGALATIA 6:7.kinachosema au chenye maneno yanayosema kuwa MSIDANGANYIKE ,MUNGU HADHIHAKIWI akipandacho mtu ndicho ATAKACHO KIVUNA,.

Kwa hakika maneno hayo yakawa kama leso machoni mwa waombolezaji maana ghafla watu wakajikuta wanaacha kulia na kunyamaza.ikawa ni kama Mungu aliingia ndani ya dkt Tulia na kuamua kuwafuta watu machozi baada ya kuona wamezidiwa na majonzi.watu wakawa watulivu na wenye matumaini makubwa sana.ghafla watu wakaona uwepo wa Mungu katikati yao na kupata faraja na tabasamu katika nyuso zao.

Nimeshuhudia mahali nilipo watu wakiwa Bize kusoma biblia kupitia simu zao na wengine wakifunua biblia kusoma vitabu vya ayubu na wagalatia kujisomea kwa undani zaidi.wengine wakitamani wabatizwe kabisa ili Mungu awe ndani yao na nuru ya Mungu iwaangazie katika maisha yao yaliyo salia hapa Duniani.

Kwa hakika dkt Tulia ni nyota na taa iliyowashwa na Mungu mwenyewe.hakuna mwanadamu awezaye kuizima.ni mfano wa kuigwa.Mungu ambariki sana dkt Tulia.libarikiwe tumbo lililo mbeba dkt Tulia Acksoni Mwansasu.
Kwa hiyo lilaaniwe tumbo lililokuzaa wewe
 
Hivi wewe ni mwandishi wa riwaya au? Mbona una maneno mengi sana?
Ikiwa 'kufuta machozi' ndio neno lake pendwa.

'Raisi Samia awafuta watanzania machozi kwa kuruhusu mvua inyeshe'.

'Raisi Samia awafuta watanzania machozi kwa kuruhusu usiku uingie baada ya mchana kuisha'.
 
Unapenda sana kuandika lakini unachoandika Sasa, utumbo mtupu. Unaandika bila kutumia akili. Msibani pale alikuwepo Rais wa nchi, tuseme Samia kaongea ujinga hisipokuwa huyo Tulia aliyeshidwa kuongoza bunge ndiye kaongea Jambo la maan?
 
Acha hasira zako ndugu yangu. Kunywa maji utulize akili. Bunge letu lipo imara chini ya uongozi wake dkt Tulia.ni kwa umahiri wake wa kiuongozi ndio maana Dunia iliamua impatie Urais wa umoja wa mabunge Duniani, ili kupata maarifa na ujuzi wake wa kiuongozi kutoka kwa Nguli huyu wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna jambo ambalo Mwenyezi Mungu kaliweka ndani ya dkt Tulia Acksoni Mwansasu Dada wa Taifa,msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini, speaker wa bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani,ambalo pengine kuna kitu Mungu anakipitishia na amekuwa akimtumia dkt Tulia katika kupeleka ujumbe kwa watanzania.japo tunaweza tukawa bado hatujafunuliwa bado kwa wakati huu.

Ilikuwa hivi ndugu zangu, katikati ya simanzi nzito , mawazo mengi,majonzi mazito,maumivu makali na machungu makali mioyoni mwa ndugu ,jamii,rafiki na waombolezaji mbalimbali waliohudhuria katika shughuli ya kumsindikiza hayati Edward lowassa katika safari yake ya mwisho ya kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.

Ikafika zamu ya bunge kutoa salamu zake za pole kwa familia.ndipo akaitwa kwa heshimu kubwa dada wa Taifa ambaye ni speaker wa bunge dkt Tulia Acksoni Mwansasu. Ambapo akainuka haraka haraka kwa staha ,adabu ,heshima , unyenyekevu na kujiamini huku akiwa kavalia mavazi ya heshima na staha yaliyo mpatia nafasi na uhuru wa kutembea vizuri akaenda mahali palipo maalumu kwa ajili ya kuzungumza.

Akaanza kwa kurejea yaliyozungumzwa na mkuu wa KKKT kwa kurejea katika kitabu cha ayubu sura ya 14:1 eneo linalosema mwanadamu aliye zaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi ,naye hujaa taabu.yeye huchanua kama vile ua na kisha hukatwa. hapa akatoa somo kwa waombolezaji na watanzania waliokuwa wanafuatilia kupitia Tv kuwa pamoja na kuishi siku chache sisi kama wanadamu kuna muda wa kuchanua maua ,je maua yako yatakuwa ya kunukia na kuvutia wengi au itakuwaje? Akasema ni lazima tujitathimini tuwapo hai juu ya nini tunafanya na tunakuwa watu wa aina gani katika kuchanua kwetu na katika siku hizo chache za kuishi hapa Duniani.

Mwisho ndipo akamalizia kwa kishindo kikuu kilicho watetemesha nakuwafuta kabisa machozi waombolezaji na kumfanya mjane wa marehemu Lowassa na pamoja na Mheshimiwa Rais waliokuwa wamekaa jirani nyuso zao kutabasamu na kutikisa vichwa kwa faraja kubwa ya moyo waliyoipata kutoka kwenye maneno ya dkt Tulia.

Hii ni baada ya Mh Dkt Tulia kwa hekima na utulivu mkubwa sana kusema Mheshimiwa Rais salamu za bunge zinatoka katika kitabu cha WAGALATIA 6:7.kinachosema au chenye maneno yanayosema kuwa MSIDANGANYIKE ,MUNGU HADHIHAKIWI akipandacho mtu ndicho ATAKACHO KIVUNA,.

Kwa hakika maneno hayo yakawa kama leso machoni mwa waombolezaji maana ghafla watu wakajikuta wanaacha kulia na kunyamaza.ikawa ni kama Mungu aliingia ndani ya dkt Tulia na kuamua kuwafuta watu machozi baada ya kuona wamezidiwa na majonzi.watu wakawa watulivu na wenye matumaini makubwa sana.ghafla watu wakaona uwepo wa Mungu katikati yao na kupata faraja na tabasamu katika nyuso zao.

Nimeshuhudia mahali nilipo watu wakiwa Bize kusoma biblia kupitia simu zao na wengine wakifunua biblia kusoma vitabu vya ayubu na wagalatia kujisomea kwa undani zaidi.wengine wakitamani wabatizwe kabisa ili Mungu awe ndani yao na nuru ya Mungu iwaangazie katika maisha yao yaliyo salia hapa Duniani.

Kwa hakika dkt Tulia ni nyota na taa iliyowashwa na Mungu mwenyewe.hakuna mwanadamu awezaye kuizima.ni mfano wa kuigwa.Mungu ambariki sana dkt Tulia.libarikiwe tumbo lililo mbeba dkt Tulia Acksoni Mwansasu.
Uwe una gonga direct kwenye point..... Sio ilikuwa hivi ..ikawa hivi ..nisiwachoshesijui ngafu ngafu .....tulia tunakubali ....
 
Utajiri wa hiyo familia hawana mawazo labda familia yako na tulia ndio wenye majonzi ..mana mmejaa umaskini mpka kwenye mzuutii wa igoro
 
Tuache uchawa sio kweli. Yaani huyu dada anafanya kila jambo kudumisha yale yote mazuri ya Lowassa ikiwa pamoja na chaguzi huru🤔 sasa hotuba za kichawa hazina tija angalia hali halisi sio maneno ya uongo
 
Back
Top Bottom