Hotuba ya Rais mpya kijana wa Senegal

Jua limechomoza GIZA linaangamia.....Oxford imenyooka Challii anatoa mifano na facts za ukweli huko Chad ni mijegeje miaka nenda Wafaransa na wabelgiji roho mbaya No peace kwenye Makoloni yao

Na KIKOKOTO kafutilia mbali...

Bongo Vijana tuamkee uchawa usimbayanga vijiwe tunaishia kubugia Rika na kuzeeka mapema
 
Itakuwa poa Sana tukiamua na kuamka kama waafrika, japo safari ni ndefu kutokana na baadhi ya viongozi walivyovurunda huko nyuma, hasa kwenye kutegemea msaada kwenye bajeti zetu na kukubali mikopo inayoumiza Taifa, Ila ni dhahiri manyanyaso yametuchosha, ni wakati wa KUTENDA sasa, tutumie rasilimali alizotujalia Mungu kujitoa kwenye minyororo ya umaskini.
 
Mzungu huwa habagazwi waziwazi namna hii , huyu rais kaanza kwa mihemko. Alipaswa kuwaminya kimya kimya.

Senegal haiko huru kiuchumi, bidhaa nyingi sana zinatoka kwa hao wazungu ikiwa ni pamoja na France.

Kwa hotuba hii kali dhidi ya France tayari huyu rais anaandaa anguko lake ama kifo chake. Wazungu siyo wa mchezo mchezo.

Watamtafuta kwa msosi, kwa tiba, kwa mtutu, kwa sumu, kwa kutumia marafiki zake, nguo zake, gari lake, n.k. Nina hakika hatatoboa.
 
Hizo Nondo anazo toa kichwani ni balaa, hicho kingereza hakuna hapa Tanzania kiongozi wa chama cha KIJANI anaweza ongea aisee.

Kuna nchi ndogo ndogo Africa viongozi wake wana akili kweli kweli yani, sisi sijui tume laaniwav vipi yani.
Kuna watu hata huko kijani wapo na akili hizi,ila wananyimwa airtime maana sio mpango wa chama watu kutumia akili zao.
 
Mzungu huwa habagazwi waziwazi namna hii , huyu rais kaanza kwa mihemko. Alipaswa kuwaminya kimya kimya.

Senegal haiko huru kiuchumi, bidhaa nyingi sana zinatoka kwa hao wazungu ikiwa ni pamoja na France.

Kwa hotuba hii kali dhidi ya France tayari huyu rais anaandaa anguko lake ama kifo chake. Wazungu siyo wa mchezo mchezo.

Watamtafuta kwa msosi, kwa tiba, kwa mtutu, kwa sumu, kwa kutumia marafiki zake, nguo zake, gari lake, n.k. Nina hakika hatatoboa.
Wazungu gani papai wewe??sisi tuliposema magu amefanyiwa fitna unatikisa makalio kwamba alikuwa dhalimu ndio sababu amefafiki.

Nyie mapapai ndio chanzo cha anguko la africa,mnatukwamisha sana.
 
Jiwe kafa kwa udhalimu wake. Alikuwa anateka, anafilisi, anapora Mali, anaua na kuwabagaza watu wa nchini kwake. Mtu kama huyu ilikuwa ni lazima Mungu amuondoe duniani.
 
Nawewe tukikuzika sasa hivi itakuwa ni kwa ajili ya kutoa utamu kwa wanaume wenzako??hiyo ni dhambi pia.
 
Hizo Nondo anazo toa kichwani ni balaa, hicho kingereza hakuna hapa Tanzania kiongozi wa chama cha KIJANI anaweza ongea aisee.

Kuna nchi ndogo ndogo Africa viongozi wake wana akili kweli kweli yani, sisi sijui tume laaniwav vipi yani.
Huku ni maubabee tu kutwishana KIKOKOTO!!!
 
Mzungu huwa habagazwi waziwazi namna hii , huyu rais kaanza kwa mihemko. Alipaswa kuwaminya kimya kimya.

Senegal haiko huru kiuchumi, bidhaa nyingi sana zinatoka kwa hao wazungu ikiwa ni pamoja na France.

Kwa hotuba hii kali dhidi ya France tayari huyu rais anaandaa anguko lake ama kifo chake. Wazungu siyo wa mchezo mchezo.

Watamtafuta kwa msosi, kwa tiba, kwa mtutu, kwa sumu, kwa kutumia marafiki zake, nguo zake, gari lake, n.k. Nina hakika hatatoboa.
Ramli chonganish, acha imani potofu kijana wangu badala yake tumwombee kijana wetu atoboe.
 
Back
Top Bottom