Hotuba Kali ya DR SLAA nchini Marekani

Hotuba Kali ya DR SLAA nchini Marekani

nafuatilia sana, BBC, VOA na SKY NEWS, sioni popote anapotajwa huyu mume mwenzake na Mahimbo kuwa yuko huko.

Shinda huho na pia kesha ukifatilia hizo BBC, VOA na SKY news utamuona. Si juzi tu uliambiwa kuwa alikuwa na interviw na VOA ........... sasa sijui uliikosakosaje kama kweli unafuatilia!!
 
Hivi JAKAYA KIKWETE ALISHAWAHI KUUTUBIA CHUO KIKUU CHOCHOTE DUNIANI? Ni swali tu...
 
Huyu babu naona anachanganyikiwa. yeye kama anaona misaada ya nje haisaidii, mbona anawategemea KAS, CDU na vibaraka wengine kufadhili harakati za chama chake? kama anashindwa kujitegemea ndani ya chama ambako kuna mahitaji machache, ataweza
kujitegemea kwenye taifa ambako kila kona anakabwa koo? aache propaganda za uzushi, uongo, unafiki na uzandiki

Well said mkuu, huyu babu anazeeka vibaya, kaenda honeymoon kijanja na mke aliempora Mahimbo ambae hadi leo analia kwa alichofanyiwa na hiki kizee. Mbaya zaidi anaponda misaada wakati kaenda kujikomba kwa wazungu, sidhani hata hotel anazolala analipiwa na CDM....akirudi bongo kazi kuzunguka kifalme na helkopta huku akichangisha walalahoi eti kwa slogan ya kusaidia chama wakati kumbe wanasaidiwa wachache....jaman Watanganyika tufunguke na tuwe macho na wazee wanaobana nafasi za vijana wenzetu kina Zito Kambwe
 
hata za machizi haijawahi kutokea...

Ahutubie chuo ili iweje? kwa lipi hasa? Babu anasogeza mda wa honeymoon ndio maana amekosa cha kuongea. Nikama mtu alipewa lifti anavyojiongelesha kwenye gari wakati wenye gari wametulia kimya
 
Huyu babu naona anachanganyikiwa. yeye kama anaona misaada ya nje haisaidii, mbona anawategemea KAS, CDU na vibaraka wengine kufadhili harakati za chama chake? kama anashindwa kujitegemea ndani ya chama ambako kuna mahitaji machache, ataweza kujitegemea kwenye taifa ambako kila kona anakabwa koo? aache propaganda za uzushi, uongo, unafiki na uzandiki

Na wewe Chabruma acha ujinga bhana! Kwani cdm wanaokota kodi ili wajitegemee?
 
Last edited by a moderator:
Well said mkuu, huyu babu anazeeka vibaya, kaenda honeymoon kijanja na mke aliempora Mahimbo ambae hadi leo analia kwa alichofanyiwa na hiki kizee. Mbaya zaidi anaponda misaada wakati kaenda kujikomba kwa wazungu, sidhani hata hotel anazolala analipiwa na CDM....akirudi bongo kazi kuzunguka kifalme na helkopta huku akichangisha walalahoi eti kwa slogan ya kusaidia chama wakati kumbe wanasaidiwa wachache....jaman Watanganyika tufunguke na tuwe macho na wazee wanaobana nafasi za vijana wenzetu kina Zito Kambwe

wewe unaonekana hâta chekechea hujasoma. Zito kambwe ndio nani!
 
hivi , inakuaje hotuba anatoa marekani, kuripoti mnaripoti JF, huko hakuna media?

JF ni sehemu yetu pekeenya kupata habari ambazo pengine tungesubiri magazeti na redio zenu hizo za kijinga zifike na kutuletea mambo mengine ya umbea!

Ninachoweza kuungana na wewe,je hotuba ya Dk slaa,ni nzuri,inakidhi bigezo na hasa kama mtu anaetegemewa kwamba mungu qkimpa uhai labda na akafanya marekenisho anaweza kuingia Ikulu,lakini si kuhusiana na taarifa zake kultwa JF hebu usitake kuishusha JF humu kuna Great Thinkers!
 
Back
Top Bottom