1.R.I.P Julius Nyerere,Edward Moringe Sokoine,Muamar Gadaf,Nkwame Nkurumah
2.LONG LIVE
Dr.Wilbroad Slaa,Nelson Mandela,Robert Mugabe.
3.SHAME ON.
Jakaya Mrisho kikwete+other african presdents greed of foreign aid.
NAMBA 1&2 NDIO VIONGOZI WALIOWEZA/WANAOWEZA KUKEMEA NA KUTOA HOTUBA KALI DHIDI YA UDHARIMU WA MATAIFA YA NJE,hii hotuba ya Slaa ni hotuba ambayo haijawahi kutolewa ama na Mwinyi,Mkapa ama Kikwete.
Hii ni hotuba na pengine karipio kuwa hatuhitaji misaada ya neti,maboksi ya viatu na vingine kutoka mataifa haya,tunachohitaji ni UJUZI(skills), viatu,neti na vitu vingine tutatengeneza wenyewe,ameiita misaada ya nje NI UTUMWA ULE ULE,nauliza hotuba hii anaweza kuitoa nani?KIKWETE?Hapana, na hawezi kujaribu,Hata viongozi wengine wa afrika ukimtoa Mugabe na Mandela hakuna mwenye ujasri huu,WANAOSEMA HII SI HOTUBA KALI HAWAELEWI TU KIINGELEZA.kasikilizeni hata hotuba za marehemu Sokoine dhidi ya mataifa ya nje mtanielewa.
KIPAUMBELE CHA KWANZA NI ELIMU,KIPAUMBELE CHA PILI ELIMU,KIPAUMBELE CHA TATU ELIMU