Hottest: Nauza Rupia

Hottest: Nauza Rupia

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
950
Reaction score
1,050
Nauza Rupia orijino kabisa nimeipata kwa babu kwa mashariti makali.

Hakuna maelezo au punguzo
Bei Tshs 1,000,000,000/ bilioni moja.
 
Attachments

  • unknown.jpg
    unknown.jpg
    3.4 KB · Views: 734
Kwa sasa sidhani kama utampata mtu, utapeli wa aina hii ulikuwa maarufu miaka ya 80 na 90 ila miaka hii itakuwa bahati yako!
 
Kwahio kama Unaziuza kwa bei hiyo that means mimi kama ninazo ninaweza nikakuuzia kwa nusu bilioni ili wewe uuze kwa bilioni moja au ?
 
Umemtaja babu ili uwaingize watu mkenge.

Huyo babu kwanini hakumpa mwane akakupe wewe?
 
Jamani ifike mahali tuache kubeba vitu visivyo na maana vichwani, ebu tujiulize swali dogo Rupia imetengenezwa kwa madini ya aina gani na kuifanya iwe na thamani kiasi hicho? au hizo picha ndo zinaifanya kuwa na thamani? je mwisho wa siku mnunuzi anaipeleka wapi na apate nini? je ni nini mahitaji ya mnunuzi wa mwisho? Kifupi hii ni dhana iliyojengeka kuwa Rupia ni mali na ukweli walio nunua wakati ule walibaki nazo na wsijue wpeleke wapi! sawa na kitu kilichoitwa simba2 au shilingi ya mwaka 73 nayo iliwindwa huku kukiwa na uhakika kwamba mwaka 72 hakukutengenezwa shilingi yoyote.
 
kweli kabisa....utauzaje hyo bilion ni style ya kitapeli tu...
 
hao washawatapelI sana wafanyakazi waliyostafu wanao pata vinua mgongo....kutafuta rupia wanatafuta mpaka wanakoma....
 
Nauza Rupia orijino kabisa nimeipata kwa babu kwa mashariti makali.

Hakuna maelezo au punguzo
Bei Tshs 1,000,000,000/ bilioni moja.

dah, kumbe zina pesa hivi! sasa mimi nnazo nyingi tu, kwa vile wewe unauza 1m mimi ntakuuzia laki moja moja bila masharti yoyote, unapiga faida ya laki9. Na mercury nyekundu ninayo kama unataka.
 
Mie nina Shilingi 10 na Shilingi 20 za chuma nauza zote kwa 25mils.
 
dah, kumbe zina pesa hivi! sasa mimi nnazo nyingi tu, kwa vile wewe unauza 1m mimi ntakuuzia laki moja moja bila masharti yoyote, unapiga faida ya laki9. Na mercury nyekundu ninayo kama unataka.

hiyo ni 1Bill mkuu si Mill
 
Hiyo feki mkuu yenyewe original ukiipiga picha haionekani
 
utapeli huu ulianza zamani na wengi walitapeliwa
Sijui na sijaona thamani ya rupia isipokuwa ni ukumbusho na ukusanyaji wa vitu vya zamani vyenginevyo ni sawa na kitu cha kufikirika ambacho huwezi kukiona wala kukijuwa
Kama kuna mtu anajuwa zaidi tafadhali tujuulishe sie tusiojuwa
Mwenye rupia tupe maelezo ya rupia
 
Mkuu mimi naona kama uliota ndoto asubuhi baadala ya alfajiri
 
hahahaa, mkuu nilikuwa sijasoma vizuri, kumbe ni B?!!!...basi aje kuchukua kwangu mzigo hayo marupia mi ntamuuzia laki mojamoja tu....lol!

Atakuwa amepiga super normal profit.
 
Nauza Rupia orijino kabisa nimeipata kwa babu kwa mashariti makali.

Hakuna maelezo au punguzo
Bei Tshs 1,000,000,000/ bilioni moja.

Hahahahaha!!! Umenikumbusha mbali kidogo.
Hapa sasa ungeongezea na mercury nyekundu ile inayotemwa na nyoka mlimani ungepiga hela kubwa zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom