Hottest CARS, Why Men love CARS!!!!!!!!!!!!!!!

Hottest CARS, Why Men love CARS!!!!!!!!!!!!!!!

522412_198174740317040_1399536767_n.jpg

Hiki kitu cha kati hapa una uwezo wa kumuweka mtoto mzuri kila ijumaa ukamtoa Dar ukahakikisha week-end yenu yote inakuwa Nairobi palee....na jumatatu mnawahi kazini Posta
 
Haya hata yasije kwetu, maana hiyo mijihela yoye unayo wapa wazungu bora uagize mashine ya kuboresha maisha ya wabongo wenzako wanao ganga njaa.
 
dah ngoja nijichange pengine naweza vuta moja la kuuzia nyago hapa town...
 
Kumiliki moja kati ya hayo inabidi uwe fisadi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom