Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 14,000
Naipenda nchi yangu yangu pamoja na kukuza biashara ya Hoteli(malazi) ningependa kufanya kazi na watu mbali mbali kwenye eneo hili kwa malipo ya Commission pindi nitakapopeleka wageni. Ukihitaji maelezo zaidi nipigie simu 0752 489529 au tourismtanzania@yahoo.com
Mimi nakaribisha mtu yeyote mwenye hoteli/msimamizi wa hoteli sehemu yeyote nchini,ninaweza kufanya naye kazi.Flow ya wageni inadepend ila inategemea la location ya hoteli,sihitaji mshahara wa mwezi ila ni COMMISSION depend on sales.Ukiwa tayari nipigie simu kwa namba zangu 0752 489529mkuu napenda jua kwa eneo ungepependa kwa dar na commissn yako inaendaje na flow yako ya wageni ikoje? kama iko powa hata nipm tuongee
Naipenda nchi yangu yangu pamoja na kukuza biashara ya Hoteli(malazi) ningependa kufanya kazi na watu mbali mbali kwenye eneo hili kwa malipo ya Commission pindi nitakapopeleka wageni. Ukihitaji maelezo zaidi nipigie simu 0752 489529 au tourismtanzania@yahoo.com
Sio kwamba nina wageni nyumbani kwangu,ila nina andaa mkakati wa kupata booking baada ya watu kuiona hotel yako na facilities zake,so wakiona na bei zake ndipo watakapoweza kufanya booking,watakapofika mwisho wa mwezi ndio naleta Invoice yangu kutokana na idadi ya wageni nilioleta,tayari kwa ajili ya kulipwa..! Naamini hiyo kitu inafanya kazi/kupata wageni ndio maana sihitaji malipo kabla ni makubaliano tu..!Mkuu, kama kweli unao hao wageni/wateja basi sidhani kama unahitaji kujitangaza hivi, kazi hizi zipo milioni yaani mimi ningekuwa kama wewe dah! sijuwi ingekuwaje lazima tayari ningekuwa na ofisi au kampuni yangu siku nyingi. Hii ni biashara kubwa sana.
Tayari nimekujibu email yako,ukiwa na fursa si vibaya kushare na wengine ila hapa Tz wengi wana great ideas ila hawapendi na wengine wafanikiwe..!Hii Style mpya ya ujasiriamali,unachukua chako unasepa
Bonge la wazo,
Nimekutumia email,check and advise
Nimetangaza ili watu wajitokeze kwa wingi wenye uhitaji,sihitaji kufanya siri kwani napenda kukuza Uchumi wa kila mtu.Kamata fursa twende zetu..!Mkuu, kama kweli unao hao wageni/wateja basi sidhani kama unahitaji kujitangaza hivi, kazi hizi zipo milioni yaani mimi ningekuwa kama wewe dah! sijuwi ingekuwaje lazima tayari ningekuwa na ofisi au kampuni yangu siku nyingi. Hii ni biashara kubwa sana.
Nimetangaza ili watu wajitokeze kwa wingi wenye uhitaji,sihitaji kufanya siri kwani napenda kukuza Uchumi wa kila mtu.Kamata fursa twende zetu..!