jamaa mmoja alienda hotel ya kitalii ambayo wanatumia lugha ya kingereza tu
waiter: gud evening, what can I serve u tonight?
jamaa anataka kula kuku ila amesahau kuku kwa kimombo anaitwaje so kuchek meza ya jiran kulikuwa na mzungu anakula mayai, jamaa akajibu I need it mother huku akinyoosha mkono kwenye mayai