Hoteli ya Mgonja? Parrot Hotel

Hoteli ya Mgonja? Parrot Hotel

Parrot Hotel ni ya Gray Mgonja, hotel ya Shana Boy ni ''Arusha Royal Court'' ile ndogo iliyopo Sakina na sasa hivi imechoka inahitaji marekebisho.

Jina lake ni Abdallah Mshana.

Pia ana nyumba nyingi ndogo ndogo za kawaida za kupanga na vigesti kule Da es salaam street- Moshi na nyumba yake ya kulala ipo Kisongo na barabara ya KCMC pia

Naifahamu hiyo familia ya Abdallah Mshana vizuri, watoto wake ni Rajabu, Hassan & Hussein (Mapacha), Warda, wote wamesoma Nairobi, Kenya kasoro Rajabu

Zaidi mshkaji wangu ndiye aliyeweka AC kwny vyumba vya Parrot hotel na wakati wa usiku Mmiliki alikuwa anaenda kuangalia ujenzi.
 
Parrot Hotel ni ya Gray Mgonja, hotel ya Shana Boy ni ''Arusha Royal Court'' ile ndogo iliyopo Sakina na sshv imechoka inahitaji marekebisho.

Jina lake ni Abdallah Mshana.

Pia ana nyumba nyingi za kupanga kule Da es salaam street- Moshi na nyumba yake ya kulala ipo Kisongo na barabara ya KCMC pia

Kwanini wote wanaenda usiku
 
We jamaa ni mkuda balaa. Unapenda sana matajiri waishi kama mashetani teh teh teh

Muacheni jamaa amalizie Hotel atoe ajira.
 
Parrot Hotel ni ya Gray Mgonja, hotel ya Shana Boy ni ''Arusha Royal Court'' ile ndogo iliyopo Sakina na sshv imechoka inahitaji marekebisho.

Jina lake ni Abdallah Mshana.

Pia ana nyumba nyingi za kupanga kule Da es salaam street- Moshi na nyumba yake ya kulala ipo Kisongo na barabara ya KCMC pia

Naifahamu hiyo familia ya Abdallah Mshana vizuri, watoto wake ni Rajabu, Hassan & Hussein (Mapacha), Warda, wote wamesoma Nairobi, Kenya kasoro Rajabu

Zaidi mshkaji wangu ndiye aliyeweka AC kwny vyumba vya Parrot hotel na wakati wa usiku Mmiliki alikuwa anaenda kuangalia ujenzi.
Ok hiyo Arusha Royal Court si ile ipo karibia na Silent inn pale sakina.

Upande wa pili kuna hoteli nyingine ambayo haijamaliziwa nayo wanasema ipo ndani ya hifadhi ya barabara??
 
Yeap, hiyo ndio ya Shana boy bila shaka yoyote.
 
Sawa sawa mkuu, kitambo Sana maeneo hayo sijafika, naamini hata hiyo iliyopo ndani ya hifadhi ya barabara hawajaimalizia nayo.
 
Unasemea ya Mathias Manga iliyopo upande wa chini?
 
Bado haijakamilika at 100%, kuna kipindi alisimamisha kwnz kufuatia agizo la serikali juu ya ubomoaji wa majengo yaliyo karibu na mto
Hawa watu wa mazingira sijui wanakwama wapi!
Jengo limekamilika ndio wanaona lipo karibu na mto.
 
Mkuu samahan. Kwa uzoefu wako jengo kama hili thamani yake shilingi ngapi?
Sina uhakika sana kwa jengo zima ila wooden stuffs zote yaani samani za Parrot za mbao yaani kabati za ukutani, vitanda, shelves na tables mwaka 2014 budget ilikuwa Bil 5 kwa vyumba vyote, Mbao Mninga

Gharama kubwa kwny ile hotel ilikuwa ni kwny setting ya swimming pool ambayo Ipo ghorofa ya 3

I was not a Valuer though,
 
Sina uhakika sana kwa jengo zima ila wooden stuffs zote yaani samani za Parrot za mbao yaani kabati za ukutani, shelves na tables mwaka 2014 budget ilikuwa Bil 5 kwa vyumba vyote, Mbao Mninga

Gharama kubwa kwny ile hotel ilikuwa ni kwny setting ya swimming pool ambayo Ipo ghorofa ya 3

I was not a Valuer though,
Kwahiyo pale pana fanicha za 5b na jengo halitumiki!!
Viongozi wetu watoke nje ya boksi,wajiongeze kwakweli.
 
Ndio, furniture zilikuwa zinawekwa sambamba na AC, na budget ilikuwa hiyo walianza kuweka 2013 nikiwepo pale na Rajab
 
Back
Top Bottom