Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,825
Duuh, Mzee Abdallah amefariki kwa Blood Pressure, alikuwa na pressure ya kupanda kwa miaka mingi mbona.Hassan Hussein Mshana, maarufu mjini Arusha kwa jina la "Shanna Boyz"......Hatunaye tena. Mazishi yake ni leo tarehe 17.2.2021. tatizo la kupumua.
Huu ndio ukweli uliothibitishwa, sio Corona.