Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Katika press conference ya Makonda na Kamanda Sirro, Mkuu wa Mkoa wa Dar ameitaja hoteli ya Mediterraneo iliyopo katika ufukwe wa bahari ya Hindi maeneo ya Kawe kuwa kitovu cha biashara haramu ya madawa ya kulevya na kuongeza kuwa bwawa la kuogelea lililopo kwenye hoteli hiyo ndio hasaaa sehemu mahususi ambapo watu hutumia mihadarati hiyo.
Ameongezea kuwa kuna vyumba kadhaa kwenye hoteli hiyo vinavyotumiwa kwa shughuli hizo haramu na kumtaja mmiliki wake kwa jina la Samantha.
Samantha ni mtalaka wa mwanadada aliyeshiriki shindano la Big Brother akiiwakilisha South Africa, Abby Plaatjes na inasemekana ndio mmiliki wa hoteli hiyo maarufu. Pia mwanadada Abby Plaatjes yuko karibu na wasanii wengi sana na inasemekana anawaingiza kwenye matumizi ya madawa.