Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 16,215
- 33,675
Hoja zako dhidi ya marehemu Magufuli huwa nakuwa na wewe ila kuna wakati huwa unajitoa ufahamu tunapishana 😁Mwendazake ndio aliuza uchumi wa watu Hadi imefikia hapa
Hoja zako dhidi ya marehemu Magufuli huwa nakuwa na wewe ila kuna wakati huwa unajitoa ufahamu tunapishana 😁Mwendazake ndio aliuza uchumi wa watu Hadi imefikia hapa
daaaah ....I see... yupo serious sana... ile Morena ya Dodoma, niliona kuna ujenzi pale... sijui anaipanua ama anaongeza nyingine... na kuna hii hapa Msamvu... daaaahOf course naona nae kwenye property anakuja vizur na zile hotel zake za Morena,
Yah... yeye mwenyewe kashanunuaNilisikia za chini chini muda mrefu kwamba anakuja kupanunua Shabiby
Acha tu ukiwa tajiri ukitaka kuwalea watoto wako vizuri hakikisha hawajui una hela ya kuchezea. Ukianza kuruka kuruka unaharibu malezi. Maana watoto wakibalehe wanajua mzee ana hela mpaka anahonga gari na nyumba kwanini nisome?Unachosema upo sahihi sema daah tuna mitihani sana...
Mabasi na Morenashabiby huyu huyu wa Mabasi?
Inahusiana na kuzaa ovyo ndugu tafuta biashara zinazodumu kwa karne na karne. Tembea hadi Japan kuna migahawa ina zaidi ya miaka 500 inaendeshwa na familia moja. Hakuna huo upumbavu wa kuzaa ovyo. Ukiwa na hela mbaTo unavyotaka lakini thamini mbegu zako. Sio kila shamba unapanda mbegu.kwamba watoto kumi wa tumbo moja wasinge uza
kwamba angezaa watoto wawili tumbo moja wasinge uza
kuuza n akili za hovyo za wahusika haihusiani na kuzaa hovyo
Ama hakika ulilolisema"Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu" mwinyi
Inahusiana na kuzaa ovyo ndugu tafuta biashara zinazodumu kwa karne na karne. Tembea hadi Japan kuna migahawa ina zaidi ya miaka 500 inaendeshwa na familia moja. Hakuna huo upumbavu wa kuzaa ovyo. Ukiwa na hela mbaTo unavyotaka lakini thamini mbegu zako. Sio kila shamba unapanda mbegu.
Sisi tumevunja majengo mengi ya kale ambayo yalifaa kuwa kitega uchumi cha nchi, aisee mipango yetu ndivyo hivyo tena kushiba kwanza utaifa kwenye makalabrashaKuna documentary moja niliisoma ,huko japan kuna nyumba ina zaidi ya miaka 800 ni lama kasri vile .
Vizazi na vizazi wanaishi hapo ,kuna chuo cha mafunzo ya mapigano kama Taekwondo hapo hapo ,wanafundisha watu then wanapiga pesa
Kwanin wasirekebishe wanavunja tenaa ila pesa ina nguvu
Katisha sana....Mabasi na Morena
Unafikiri ukichwa maji wa walioko serikalini ni wa bahati mbaya? WaTz kwa asilimia kubwa tuna maamuzi ya hovyo!Kwanini jengo livunjwe? Kuna ulazima gani wa kuvunja jengo kama hilo?
Kama ni kujenga hoteli nyingine, kwanini wasitafute kiwanja sehemu nyingine?