Habari,
Ndugu zangu, Kwa wenye uzoefu na Hoteli za Jijini Mwanza naomba msaada wenu wa kujua hoteli nzuri, safi na yenye ulinzi jijini Mwanza. Breakfast na Chakula siyo muhimu kwangu. Gharama isiwe zaidi ya 30,000 TZS kwa siku. Pia kwenye vyumba ni muhimu kuwe na kiti pamoja na meza nzuri ya kuweza kufanyia kazi kwenye Laptop na hata kuandikia. TV pia sio muhimu sana lakini kama ipo, then hakuna shida. Cha msingi ni usalama, usafi, maji ya moto kwa ajili ya kuogea, kiti, meza nzuri na isiwe nje ya Mji.
Natanguliza shukrani.