Yaliyonikuta hapo kaumba nikikusimulia utacheka mpaka ufeKahumba
(Natania tu jamani)
.Hebu nisimulieYaliyonikuta hapo kaumba nikikusimulia utacheka mpaka ufe![]()
![]()
.
Ila nilipata huduma buree
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Siyo kweli mpaka chumba cha 75,000 kinapatikana.OASIS bei ya chini ni 198000
Vigezo vyako nenda nashela Hotel itakufaa sana Security iko bomba mandhari na swimming pool
Ningeshangaa maana mimi nimetoka tarehe 14/06/2017samahani nimechanganya na sheira... asante mkuu
Room zipo poa, contact nilisahau mkuu, pale siyo rahisi kujaa mkuu.ila room zake ziko poa mkuu? kama unaweza nisaidia contact zake ili nifanye booking....
Ubarikiwe, poa mkuuok asante kwa taarifa... ubalikiwe