Hoteli nzuri kwenye miji hii!

Hoteli nzuri kwenye miji hii!

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,976
Habari zenu wote?

Natarajia kuanza safari yangu na kuweka vituo vya kulala katika miji hii ifuatayo naomba kujua jina la hotel/guest house/camping site yenye ulinzi,safi na upatikanaji wa chakula.
Nitashukuru endapo nikijua na gharama zake pia sambamba na mawasiliano yake.

Mwanga
Hedaru
Lushoto
Segera

Nasubiri majibu yenu.
 
Hii ruti ni ya kwenda wapi ....???
 
Back
Top Bottom