Huko vurugu sana mkuu ye anataka palipotulia mi tanga napajua vizur kuliko mzaliwa wa kule coz naenda nakaa mwezi na zaid narud au mwezi au wiki nazunguka tunenda mtaa wa chuda karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa lodge nyingi sana
Kuna ile nyingine inaitwa Nyinda Tourist Hotel namba zao ni 0677 204 696. Tatizo hizo Nyinda nazo zipo nyingi nyingi hivyo kwa mtazamo wangu naona zinachanganya sana wageni. Kuna Nyinda Tourist hotel, Nyinda Respective hotel, Nyinda Executive 1 hotel, Nyinda Executive 2 hotel, Nyinda Classic hotel n.k. Yaani ni total confusion. Sehemu nyingine nilipowahi kupaona pametulia na bei yake ikiwa ni ya kawaida ni New Kwetu hotel. Baadae nikasikia pamepigwa mnada mwaka huu kutokana na mzozo wa kifamilia.Nyinda classic ya raskazone ndo hua nafikia siku zote kumetulia sana na huduma zake nzur numerud last week tu nilikua huko
Majestic
bei zao zikojeKama unataka sehemu tulivu nenda Pongwe kuna lodge imetulia sana kama 1 km toka main road.
BK lodge pale rosmini? hapana!Nenda bk lodge iko vizuri
Ngabu, mbona hivyo. Mkonge ni tourist hotel.. yeye ana 30,000-50,000 Tsh wakati mkonge ni over 100,000 Tsh. per nightTanga mi naijua Mkonge hotel tu, basi.
tunashukuru kwa kujaribuTanga mi naijua Mkonge hotel tu, basi.
Nadhani from 30k inaitwa PONGWE city lodge(Sanawari area)bei zao zikoje
Et Unakaa mwezi tu unageuza then unapajua vizuri kuliko wazawa!kwan unatembeleaga sehem gan mkuu kwa huo mwezi mmoja ambazo wenyeji wa huku hawazijuiHuko vurugu sana mkuu ye anataka palipotulia mi tanga napajua vizur kuliko mzaliwa wa kule coz naenda nakaa mwezi na zaid narud au mwezi au wiki nazunguka tu
Atakua anaisemea lukasiInaitwajee maana kwa baba ubaya ndo maeneo yangu mkuu
Tanga Beach resortWakuu nna shida kidogo naomba msaada. Nategemea kwenda Tanga wiki ijayo kwa shughuli binafsi. Naomba mwenye kujua hoteli au lodge nzuri ya kisasa ambayo naweza kufikia. Bajeti yangu ni 30,000 - 50,000 na napendelea sehemu tulivu, safi na yenye huduma nzuri. Kuna thread ipo humu ila ni ya zamani sana 2012 sasa mi napenda sehemu mpya mpya ndio zinakuwaga nzuri. Natanguliza shukrani
Hii si iko nyuma kidogo ya Mtendele hotel? Tatizo hotel zingine ni za zamani na hazifanyi maboresho yoyote ili kwenda na wakati. Eti unakuta hotel bado ina TV za vichogo vyumbani!Nenda Macarious Hotel mtaa WA Chuda Good Cond.
Sijaanza kwenda juz au jana nimeanza kwenda tanga toka mwaka 2002 mkuu napajua vizur sana tena saana kuna kipindi nilikaa miezi minne nilikaa appatment kabisa raskazone kwa mzee mmoja anaitwa ally raskazone karibu kabisa na harbous club mkuuEt Unakaa mwezi tu unageuza then unapajua vizuri kuliko wazawa!kwan unatembeleaga sehem gan mkuu kwa huo mwezi mmoja ambazo wenyeji wa huku hawazijui
Karibu utapata,inabidi utembezwe utakaporidhia unachukua roomWakuu nna shida kidogo naomba msaada. Nategemea kwenda Tanga wiki ijayo kwa shughuli binafsi. Naomba mwenye kujua hoteli au lodge nzuri ya kisasa ambayo naweza kufikia. Bajeti yangu ni 30,000 - 50,000 na napendelea sehemu tulivu, safi na yenye huduma nzuri. Kuna thread ipo humu ila ni ya zamani sana 2012 sasa mi napenda sehemu mpya mpya ndio zinakuwaga nzuri. Natanguliza shukrani
Hatak kwenye fujo yaani kulipochangamka ye anataka kulikotuliaNenda waridi wapo PW, hawa wapo, chuda hukitoka nyinda, hunavuka hupande wa pili.