Hotel ya hadhi ya nyota 5

Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
875
662
Wadau nimevuna tumbaku zangu hapa sasa natafuta hotel ya hazi zaidi afrika mashariki nika furahie maisha kidogo na kujipumzisha naombeni mnipe list ya top 5 nichague mwenyewe msiache ile ya zanzibar sijui inaitwa vp hiyo...
 
Zanzibar kuna
Essque zalu Zanzibar
Valder azam luxury hotel
Breezes beach resort
Park Hayyat Zanzibar
Residences hotel
 
Maskini akipata matako hilia mbwata! Wenzio wanakula bata kila day,wewe hadi uuze tumbaku? Any way,pale tandale pale kuna sehemu inaitwa kambi ya fisi,patakufaa muuza tumbaku
 
Umenizalilisha sana mkuu tumbaku unaijua lakin wew ??
 
Nakudhalilisha wapi! Wewe hadi uuze tumbaku ndio ule bata? Kwanini usiwaze kununua shamba lingine uonge kilimo? Huoni kama unatutia hasira sisi tusiokua na mitaji mikubwa kama wewe? Acha ulimbukeni.
 
Maskini akipata matako hilia mbwata! Wenzio wanakula bata kila day,wewe hadi uuze tumbaku? Any way,pale tandale pale kuna sehemu inaitwa kambi ya fisi,patakufaa muuza tumbaku
Hahahaaa mpaka Auze Tumbaku... Mvua ikikata Anarudi umasikini
 
Zanzibar kuna
Essque zalu Zanzibar
Valder azam luxury hotel
Breezes beach resort
Park Hayyat Zanzibar
Residences hotel
Baba yao ni melia hotel zanzibar
One night kwa sisi wabongo $340.
hakikia hutajutia pesa yako..
 
Nakudhalilisha wapi! Wewe hadi uuze tumbaku ndio ule bata? Kwanini usiwaze kununua shamba lingine uonge kilimo? Huoni kama unatutia hasira sisi tusiokua na mitaji mikubwa kama wewe? Acha ulimbukeni.
Duuuu..nitalifikilia hilo mkuu nikitoka kula bata kwanza
 
Back
Top Bottom