Golden Rose bana......au kama anataka hekaheka........aje hapa jirani na kwangu.......Rift Valley.........full self contained........kama anaelewa ninachomaanisha.............
Nipo lift valley hapa kwa nje mbona sikuoni.?
Sasa Preta ni dipu # ipi? Nimekuja maeneo ya Philips hapa muda huu kuonana na wenyeji. Ila Ntarudi kulala hapo. Sema kwenye ile kona sijui kama nitapita salama maana niliyokutanayo jana ni zaidi ya kona bar.Wewe umeenda wapi huko..........?.....mimi nipo Rift Valley..........hebu njoo mpaka hapo Mashele unidip........
AM ni alex masawe, nyuma ya kampuni ya mbegu ya kenya seed
Dogo unafanya nini uko?:what:
Kakale makaburini jirani na pt. Kenge wewe...
Vipi charminglady upo? msaada pliz hotel gani mwanza nzuri ya bei ya kati? nataka niondoke jtano
Tumekuboa eeeh......tusamehe bure lakini sisi tumependa uzi huu huu..........na tutaendelea hapa hapa.......mpaka mwenye uzi atakaporudi tena Arusha.........
Sasa Preta ni dipu # ipi? Nimekuja maeneo ya Philips hapa muda huu kuonana na wenyeji. Ila Ntarudi kulala hapo. Sema kwenye ile kona sijui kama nitapita salama maana niliyokutanayo jana ni zaidi ya kona bar.
Njoo bas huku matejoo
atakuwa anaishi mitaa ya shauri moyo huyo c bure!
Soma kwanguvu wewe - Ameshasema 50000!
Kama sio Mujahidin simshauri alale karibu na hapo maana jamaa saa9 alfajiri wanaanza kutoa vitisho km huendi kusali....chumba ulicholala ndio kaburi lako...shuka ulilojifunika ndio sanda yako...!
Unamaanisha Rift Valley sio........?......poa poa.......karibu........