Mimi nilikuwa ar this xmass nililala city link hotel karibu na philips bei yao ni 40000 tu unapata buffe breakfast nzuri huna haja hata ya kula mchana tena. Jioni niliburudika kwenye baa yao yanye vinywaji bei nafuu huku ukiburudika na live band kweli ni pazuri na nafuu sn sijui kama wanapata faida hawa jamaa