Katibu mkuu TAMISEMI ameipa manispaa Morogoro mpaka tarehe Tisa wawe wameshaibomoa na kuwawajibisha watumishi walioruhusu ujengwaji huo.
Chanzo: TBC habari
Chanzo: TBC habari
Ghorofa la Flomy liko kwenye viwanja halali Na. 114 & 115 Kitalu D Msamvu na wana vibali vya ujenzi kwa ajiri ya ghorofa hilo....kilichoamuriwa kubomolewa ni kijumba cha generator + kipande cha fence ambacho kimezidi na kuingia kwenye open space na buffer zone ya TAZAMA Pipeline.
So far hakuna mtumishi yeyote aliyesimamishwa kazi kutokana na skendo hiyo Isipokuwa alichosema Katibu Mkuu wa Tamisemi ni kwamba Afisa Mipangomiji na Kaimu Engineer wa Manispaa waandike barua za kujieleza kwa nini walikuwa wanaangalia tu wakati wanaona wanajenga kibanda hicho kinazidi??
Ikibainika walitenda kosa ndipo hatua za kinidhamu za kiutumishi zichukuliwe dhidi yao Tofauti na walivyoripoti TBC. Ni hayo tu wapendwa...HAPA KAZI TU