Hotel kubwa kuliko zoteduniani

Hotel kubwa kuliko zoteduniani

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
part-020.jpeg


Las Vegas USA ..........vyumba 6276
 
Vyumba 8,000 = The Abraj Al-Bait Towers, also known as the Mecca Royal Hotel Clock Tower, is a building complex in Mecca, Saudi Arabia

Hapo vipi? pilaun

2-Abraj-Al-Bait-2.jpg

.Tuko pamoja hizi kumbu kumbu bado ziko katika Guiness book ...inawezekana update hazijarekebishwa
 
.Tuko pamoja hizi kumbu kumbu bado ziko katika Guiness book ...inawezekana update hazijarekebishwa

Mkuu, uwe unajitahidi kunafanya ka-utafiti kidogo from different sources kabla ya ku-post data JF.

Alafu vyumba vya hiyo MGM Grand Las Vegas siyo 6,276 kama ulivyo-post katika ur 1st post ila vipo 6,852 --- Pamoja sana!
 
Mkuu, uwe unajitahidi kunafanya ka-utafiti kidogo from different sources kabla ya ku-post data JF --- Pamoja sana!

.... Si unajua watu wako katika swala la gesi sana.... nikastua kidogo....hiyo misikiti na maknanisa vipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom