Leo ndio anatafuta? Duh haya bwanaNina dogo anafunga ndoa Jumamosi, anatafuta sehemu tulivu
1. Ya usiku wa harusi , ambayo inatakiwa kuwa hapa mjini kabisa...
nenda four season safari serengeti,
ni kuzuri sana.
aki spend 3 days sio mbaya.
wana offer nzuri sana kwa local tourists
BagaMoyo ataenda kurogwa tu
Hapo ataenjoy sana, honeymoon yangu nilienda hapo miaka kadhaa iliyopita.Southern sun Dar es Salaam
Kwahiyo unataka kusema kataa ndoa Gang ni wachawi?? [emoji23]nenda four season safari serengeti,
ni kuzuri sana.
aki spend 3 days sio mbaya.
wana offer nzuri sana kwa local tourists
BagaMoyo ataenda kurogwa tu
hii imeendanenda four season safari serengeti,
ni kuzuri sana.
aki spend 3 days sio mbaya.
wana offer nzuri sana kwa local tourists
BagaMoyo ataenda kurogwa tu
Iko wapnenda four season safari serengeti,
ni kuzuri sana.
aki spend 3 days sio mbaya.
wana offer nzuri sana kwa local tourists
BagaMoyo ataenda kurogwa tu
Kwake..... Hizo mambo hazina maana yeyote...kwake ndio best place na wataizoea kuanzia siku ya kwanza ya ndoa... Yaani hizi kasumba hizi...Nina dogo anafunga ndoa Jumamosi, anatafuta sehemu tulivu
1. Ya usiku wa harusi , ambayo inatakiwa kuwa hapa mjini kabisa.
2. Ya kuspend like 4 to 5 days baada ya usiku wa harusi akiwa na mke wake mpya.
Ananiuliza ni hotels gani nzuri ya budget ya kawaida , mfano usiku wa harusi like 200K na zile siku nyingine isizidi 100K.
Kama unafahamu hotels nzuri bagamoyo unaweza nisaidia
Dada hujaona neno serengeti?Iko wap
Uchawi sasa😁😁Waende tu lodge ya 10k mkuu mbwembwe nyingi wakati wanaachana kesho.
Bei zake sasanenda four season safari serengeti, ni kuzuri sana.
Aki spend 3 days sio mbaya.
Wana offer nzuri sana kwa local tourists
Bagamoyo ataenda kurogwa tu
Wana kirimoro matata sana hawa aiseeHapo ataenjoy sana, honeymoon yangu nilienda hapo miaka kadhaa iliyopita.
Sawa ...naendaDada hujaona neno serengeti?
Kirimoro nado kama nikisema gari royora?Wana kirimoro matata sana hawa aisee